Pages

Wednesday, July 10, 2013

MFAHAMU MWANADADA "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA PAMOJA NA "AGNESS MASOGANGE



Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”  ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook

No comments:

Post a Comment