Pages

Monday, July 15, 2013

CHECK FUTARI YETU BOMBA YA JANA

 Futari yetu bomba ya jana  imepigwa na KHADIJA kutoka zanzibari je ya leo itapikwa na nani usikose kesho kujua futari leo itapikwa na nani?
 Haya sasa mseto ndio huo hapo.kitu cha draft pale kati
 Tambi nyeupeeeeeee hadi raha kuziangalia
 kitu cha kitumbua na age chop pale kati
 Kutana na mkate wa ufuta
Mishkaki iliochanganywa na viazi

1 comment:

  1. it was so delicious, thanks to the mother of the house. Mwenyezi amzidishie Inshallah!

    ReplyDelete