Pages

Sunday, June 23, 2013

WAJINYONGA BAADA YAKUKATALIWA KUOANA

Wawili wakipendana vigumu kuwatenganisha. Wamejinyonga baada ya wazazi wa mwanaume kumkatalia mtoto wao asimuoe mdada wawatu hivyo kufanya wawili hao kujinyonga pamoja kuashiria upendo wao

No comments:

Post a Comment