Msanii BARNABAS Amefiwa na mama yake mzazi usiku wa kuamkia leo, mazishi yako nyumbani kwao kigogo mwisho dar es salaam.
X blog inampapole sana barnabas kwa msiba mkubwa uliofika, nakumuombea kwa mungu ampe nguvu na moyo wa uvumilivu.mungu alaze roho ya marehemu mama barnabas mahala pema peponi amin.

.jpg)
pole sana barnaba , tuko pamoja nawe , si ndo watt wa kigogog japo ulitutenda cna wakati tumecheza wote kombolela
ReplyDelete