Pages

Thursday, June 13, 2013

HABARI ZILIZOTUFIKIA: MSANII WA HIP HOP NCHINI LANGA KILEO AMEFARIKI DUNIA.

 

Habari zilizonifikia sasa hivi punde kutoka kwa ndugu wa karibu wa Langa zinasema ndugu yao Langa amefariki katika hosp kuu ya Muhimbili kwa kuumwa Malaria. Habari kamili zitawajia kwa jinsi nitakavyokuwa napewa updates. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment