Pages

Saturday, June 15, 2013

BREAKING NEWZ:BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA WATU KADHAA WAPOTEZA MAISHA

 






6510_197909020362132_1935330081_n

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo chetu cha habari kutoka jijini Arusha zinasema kwamba kitu kinachosadikika kuwa ni bomu limelipuka kwenye mkutano wa chadema jijini Arusha limeua watu kadhaa na kujeruhi.Mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana

Endelea Kutembelea blog hii tutakujuza zaidi

No comments:

Post a Comment