Pages

Saturday, May 25, 2013

HUYU NDIO BINTI ATAKAEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER "THE CHASE"

 

Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye blog ya Zeddylicious, na mitandao mingine mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake


Feza Kessy, Rick Ross an Vanesa Mdee

No comments:

Post a Comment