Pages

Wednesday, April 17, 2013

MWANAMUZIKI NGULI WA MUZIKI WA TAARAB TANZANIA HATUNAE TENA DUNIANI-R.I.P BI KIDUDE


Tukiongea na chanzo chetu cha habari kilichopo zanzibar kimesema marehemu bi kidude amefari leo maeneo ya bububu huko zanzibar alipokuwa kwa ajili ya matibabu. na muda huu harakati za kuchukua mwili wa marehemu fatuma binti baraka a.k.a bikidude kuhupeleka alipokuwa anaishi marehemu ndio zinafanywa.

Bi kidude

No comments:

Post a Comment