Pages

Sunday, March 31, 2013

MSANII CYRIL KAMIKAZE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Msanii wa kizazi kipya Cyril kamikaze amepatwa na msiba kwa kufiwa na mama yake mzazi aliekuwa amelazwa katika hospital ya tmj iliyoko dar es salaam. Xdeejayz inampa polecyril nakumuombea kwa mungu ampe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.

No comments:

Post a Comment