DIAMOND! HUYU HAPA TENA DUH!!
Mwanzilishi wa 
kampuni ya Push Mobile inayohusika na uuzaji wa miito ya simu, ringback tone 
(RBT) amesema Diamond ndiye msanii wa Bongo Flava anayeingiza fedha nyingi 
zaidi.
Shamte ametoa 
taarifa hiyo jana alipokuwa akizungumza kwenye kongamano la mchango wa 
technolojia ya habari na mawasiliano ICT kwenye tasnia ya muziki nchini katika 
kituo cha ubunifu wa technolojia hiyo cha KINU jijini Dar es 
Salaa
"That boy is 
hot, you have no idea how much money he makes from RBT, I handle that account 
true story,” alisema Rashid. Alipoombwa ataje ni kiasi gani Diamond anaingiza 
kutokana kuuzwa kwa nyimbo zake, Rashid alisema, “lots… let’s just say he is 
happy.” Lakini Shamte alisema kama angekuwa na umaarufu kama Diamond alionao 
angeingiza fedha nyingi zaidi kuliko sasa.
“If I was hot 
like Diamond trust me I would be rich and I would not need to have anybody 
manage me or anything, I would put up a website, I would put snippets of all of 
my tracks because I can’t really make any money from radio, I would dump a bunch 
of songs onto radio, I will make sure you can stream a little bit of it but if 
you want all of it, I will make you pay me 200 using M-Pesa, if you want to 
download it I will make you pay me a hundred using M-Pesa.”

No comments:
Post a Comment