Pages
▼
XTREME DEEJAYZ WAKIWA NJIANI KUTOKEA DODOMA MAENEO YA MBANDE WANAKULA NYAMA
Dvj majey na hyperman hk wakiwa maeneo ya mbande
karibu kabisa na mji mkuu wa tanzania dodoma
Hapa nilikuwa naongea na simu na dj choka
'hoya mzazi niko maeneo ya mbande dodoma ngoja
nile nyama nitakipigia'
Uwezi kununua nyama bila ya kuonja lazima uonje
kwanza.kata kipande tuonje.mipe kidogo
Muhuza nyama maalufu wa mbande
Pande buku mbili tu na chenji inarudi
katakata weka kwenye hotpot kwani nini
Nilipomshangaza dj majey nilipotoa mfuko wa
ndimu aliniuliza nilinunua saa ngapi? mana kupata ndimu hapa mbande ni kazi sana
na nyama mwenzake ndimu'
katakata ndimu weka kwenye sahani na pilipili na
chumvi,.
kausha nyama mzazi
pilipili imeshatengenezwa kitu cha chahcanndu
iko hapo kimekamilika
hoya mzazi picha yetu ukija siku ingine tuletee
mzazi au kama vipi tutokee hata kwenye video sio mbaya
kausha nyama kausha
nyama tamu sana hizi hapa
tunaamini ni za mbuzi kama sio tena mhh tutajua mbelekjwa
mbele
No comments:
Post a Comment