Pages

Saturday, February 23, 2013

PASTOR MYAMBA AFATA NYAYO ZA MAREHEMU KANUMBA


PASTOR MYAMBA aja na hii huku akiwa ameonesha uwezo mkubwa sana wakisanii wapenzi wa wasanii nchini wamemfananisha na marehemu kanumba kutokana na uwezo wake wa kufanya filamu kwa kiwango kikubwa kutokana na uwezo wake wakisanii pia. filamu hii imewakutanisha wasanii wakali wanaosumbua ndani ya industry hii ya bongo movie kama QUEEN JACKLINE PENZEL, MZEE CHILO,PATCHO MWAMBA, JENGUO na wengine kibao. usikose kuchukua nakala yako ujionee jinsi mwanadada QUEEN JACKLINE PENZEL alivyofanya hatari.

No comments:

Post a Comment