Pages

Tuesday, January 8, 2013

KIFO CHA MKALI WA MCHIRIKU CHAWAGUSA WENGI!

Mwanamuziki maarufu wa miondoko ya Mchiriku Omar Omar amefariki dunia jana huko nyumbani kwake Temeke Mikoroshini. Kifo chake kimewashitua mashabiki wengi hasa kutokana na kazi zake kupendwa sana.

No comments:

Post a Comment