Pages

Saturday, December 29, 2012

MISS TEMEKE CHUPU CHUPU KUFA MAJI!


Miss Temeke Irine Kanka "19" Akiokolewa na vijana waliokuwa baharini baada ya kuchukuliwa na mawimbi mazito na kumzamisha chini ya maji.

No comments:

Post a Comment