Pages

Friday, November 2, 2012

UKISIKIA SIKU YA KUFA KWAKO HAIJAFIKA NDIO KAMA HIVI ,AJALI MBAYA YATOKEA NA DEREVA ATOKA MZIMA BILA YA JERAHA


Ajali mbaya imetokea maeneo ya mlandizi ambapo kulikuwa na gari aina loli limearibika njiani na kupaki bila ya halama yoyote inayoeleweka zaidi ya majani barabarani. ndipo dereve wa gari ndogo aliejulikana kwa jina moja la mohamed alilivaa ilo gari kwa nyuma kama unavyooona hapo juu kwenye picha, kwa mujibu wa shuhuda wetu amesema ajali hiyo imetokea saa 8 usiku wa jana kuamkia leo.

 

mpaka kufika muda huu hakuna trafic aliefika eneo la tukio

No comments:

Post a Comment