Pages

Friday, November 9, 2012

SUMA LEE AWACHANA WALIOMUIBIA GARI KWA KUWAAMBIA WASIDHANI KWAMBA AMEISHIWA BADO ANA MKWANJA MREFU

 Yule mkali wa hit song ya HAKUNAGA amewachana live waliomuibia gari kwa kuwaambia kwamba wasidhani kama wamemfirisi kwa kitendo cha kumuibia gari la hasha, bado nina mkwanja tena nina mkwanja mrefu sana kama unavyoouona kwenye picha. maneno hayo aliyasema suma lee kupitia mtandao wake wa kijamii wa facebook hivi karibuni.

SUMA LEE

No comments:

Post a Comment