Pages

Tuesday, November 27, 2012

SAFARI YA MWISHO YA JOHN S MAGANGA KWENDA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE


Mwili wa marehemu john s maganga unategemewa kuzikwa leo katika makaburi ya kinondoni kuanzia saa 9 mchana.pichani mwili wa marehemu ukipokelewa kutoka hospital kwa ajili ya sura na mwisho na maziko. r.i.p jonh s maganga.

No comments:

Post a Comment