::XDEEJAYZ-TANZANIA::

Pages

▼

Thursday, November 1, 2012

HII NDIO GARI YA SUMA LEE ILIYOIBIWA

 

Hii dio gari ya suma lee iliyoibiwa jumapili iliyopita katika ufukwe wa coco beach dar es salaam mida ya saa moja usiku.akiongea na xdeejayz suma lee, alisema wezi hao waliokuwa wanamfatilia mda mrefu sana mpaka jumapili iliyopita kufanikiwa kuiba gari hiyo. tangu mwanzoni mwa mwaka huu walishakwenda eneo analolaza gari suma lee na kumwambia mlinzi wametumwa kulitengeneza gari hilo kwa ni wao ni mafundi wa metumwa na suma lee! kumbe wao ni wezi. pia alisema gari hiyo kama ina nuksi kwa mana imetoka juzi tu gereji ambapo ilikuwa inatengenezwa. kwa ajili alipataga nayo ajali akiwa na linex na baba levo huko kigoma. suma lee amewaomba wasamalia wema yoyote atakaefanikiwa kuipata gari hiyo hatoe taarifa mapema police au hampigie simu kwenye namba 0715971415.

 Hii picha wakati wamepata nayo ajali gari hiyo mkoani kigoma

  

 Hapa wakati imepata ajali mkoani kigoma


 IKIWA CAR WASH

hapa  ikiwa imepark maeneo ya nyumbani kwakina suma lee kariakoo

Unknown at Thursday, November 01, 2012
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.