Pages

Wednesday, October 24, 2012

MENEJA WA MAPACHA WATATU DAKOTA KUTANGAZA KIPINDI CHA X AFRICA DTV

 Yule mdau mkubwa wa musziki wa dansi tanzaia hamis dakota ananza rasmi kutangaza kipindi cha x africka kitakachokuwa kinaenda hewani kila siku ya jumamosi kuanzia saa moja jioni na kueditiwa na yule super dupa editor in town kenny rollin,kaa tayari kusubiria mashambulizi hayo.

Superduper editor kenny rollin editor wa kipindi cha x mix cha dtv pia atakuwa anaedity na kipindi cha hamis dakota cha x afrika.

No comments:

Post a Comment