Pages
▼
MAVAZI 7 MAALUFU YA LADY GAGA YAFANANISHWA NA FREMANSON
Vazi hili ukikutana nae usiku hata kama haujalewa unakimbia,ukilewa ndio kabisa lazima uvunje mguu
Hapa sijui anataka kupaa
mhhhhhh hapa mbona kama malaika?
Hili afadhali kidogo
Hili sasa ukija upepo mkubwa lazima aanguke
Kibongo bongo vazi hili ukikatiza nalo kariakoo maji utahita mma
Nice v
No comments:
Post a Comment