Pages

Monday, September 10, 2012

Y TONY CHIPUKIZI ALIEFANYA MAAJABU KATIKA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA BAADAE

 Msanii mpya anaekuja kwa kasi sana y tony, anaekuja juu na ngoma yake ya mama zopilo alikiwasha live on stage jana wakati wa uzinduzi wa video mpya ya baadae ya ommy dimpozi,msanii huyo aliwachengua watu baada ya kuingia stegini na msichana mdogo ambae anafanya sarakasi za hatari sana ikawa ni kivutio chakila aliekuwepo new maisha club kupiga yowe za hatari na mwisho y tony akawamaliza na show kali ikiambana na kucheza kwa yeye mwenyewe stagini
 Y tony na hemed kavu (hk) wakiwa back stage
 Msichana mwenye kipaji cha sarakasi akicheza show na Y tony
Shabiki amejikuta anapanda stegini bila yakutegea na kucheza na Y tony.baada yakusikia ngoma mpya ya y tony akiitambulisha inayokwenda kwa jina la NICE CAKE ngoma hiyo imeonekanan kukubalika sana na wapenzi wa burudani pindi walipoanza kuisikia Ngoma hiyo jana wakati anaitambulisha  NEW MAISHA CLUB. 

No comments:

Post a Comment