Pages

Tuesday, September 4, 2012

SINTA AKIMBILIA KWENYE TV AJA NA HARUSINI

 
Tanzania mpo tayari? haya kipindi chako kitaruka jumanne saa tatu usiku ukitaka kujua ni harusi ya nani ili kiki heeee angalia ni DTV.  na kwa wale wanaoishi Mikoani tupate channel 218 katika starTimes. legooooooHarusini na Sintah Kuanzia saa 3 usiku leo na kila jumanne bila ya kukosa.







No comments:

Post a Comment