Pages

Monday, September 10, 2012

OMOTOLA AFUNGUKA KUHUSU REALITY TV SHOW YAKE


Hatimaye muigizaji wa kike wa Nollywood, Omotola Jalade ameamua kuiongolea reality TV show yake itakayoanza kuoneshwa hivi karibuni.
Amesema kupitia show hiyo iitwayo The Real Me, mashabiki watamfahamu vizuri yeye pamoja na familia yake na kile akifanyacho kila siku.
“Huu ndio muda. Read more...
Omotola

No comments:

Post a Comment