Pages

Monday, September 3, 2012

MWANDISHI WA HABARI AFA KAZINI

 Marehemu Daudi
 
Mwili wa Marehemu Daudi ukiwa chini baada ya kulipukiwa na bomu


 
Gari la Chadema lililovunjwa kioo wakati wa vurugu.


 
Mwandishi David mwenye sweta la rangi ya udongo akipiga picha nusu saa kabla ya kifo chake


Jeshi la police likitoa ujumbe kwa njia ya bango.

No comments:

Post a Comment