Pages

Saturday, September 15, 2012

MAANDALIZI YANAENDELEA KWENYE TAMASHA LA NIWAKATI WAKO TOUR PALE SINZA DARAJANI


 Mnyama anaitwa love anapandisha stage taratibu ya niwakati wako tour






         Gari linaingiza vifaa uwanja wa tp sinza darajani,jumapili ya kesho patakuwa hapatoshi


Mratibu wa tamasha la ni wakati wako tour hyperman hk akionyesha stage ikianza kutengemaa maeneo ambayo yatafanyika tamasha la niwakati wako na dtv pale sinza darajani kwenye barabara ya tandale,kuelekea sinza \,litakalofanyika jumapili hii kuanzia saa 8mch mpaka saa 12 jioni kingilio ni bure kabisa.









No comments:

Post a Comment