Pages

Thursday, September 6, 2012

KIBOMU CHA LEO


Afisa mmoja wa misitu alikwenda kutembelea shamba la miti na kukagua, alipofika getini alikutana na           Mlinzi aliye msimamisha kwa kumwambia " Usiingie huko ndani kwani wewe ni nani?
Afisa kusikia vile akatoa kitambulisho chake cha kazi na kufoka.. "wewe ni nani wakunizuia mimi kuingia ndani? ya msitu? mimi ni afisa wako ona kitambulisho hiki hapa.. yule mlinzi akamwambia samahani pita mkuu.. Baada ya Afisa Kuingia Ndani ya msitu Mara akaanza kupiga kelele.. "Nyukiii..nyukiiii nyukii mamaa nakufaa.. nyukiii...Nisaidienii. Yule Mlinzi Akamjibu.. " WAONYESHE KITAMBILISHO CHAKO LABDA HAWAKUJUI KAMA WEWE NI AFISA WAO"

Haaaaaaaa......hahahaaaa...
Ukienda Kwa Mtu Heshimu bila kuangalia wadhfa wako ama uwezo wako..

No comments:

Post a Comment