Pages

Wednesday, September 5, 2012

HALI YA MZEE SMALL BADO TETE ANAHITAJI MAOMBI NA SALA ZENU

 
Muigizaji mkongwe Mzee Small Wangamba ni mgonjwa sana anahitaji maombi/sala zenu, pia anahitaji msaada wako wa chochote kitu kwa ajili ya kupatiwa matibabu! Kama una chochote nenda pale kampuni ya Global Publishers iliyopo barabara ya Shekilango Bamaga watafute wahusika na mchango wako utakuwa umemfikia mzee wetu

Mzee Small wangamba

No comments:

Post a Comment