Pages

Wednesday, August 22, 2012

 HALI YA SAJUKI BADO TETE
 

 
Hali ya msanii wa filamu tanzania juma kilowoko a.k.a sajuki hali yake imebadilika ghafla baadaa ya kuanza kutokwa damu puani na mdomoni.kwa sasa yupo hospital tabata kwa matibabu zaidi
 

Sajuki akiongea na wasanii wa filamu. wakati amenza kupata nafuuu kabla yakuumwa tena.hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment