"Hakuna marefu yasiyo na ncha.mateso yangu aliyaona na tabu zake nilizonazo.kila chozi nililolidondosha lilileta faraja kwa familia hii kuwa msichana wa kazi kumenifunza mengi". hayo ni baadhi yamaneno aliokuwa akisema mwanadada jennifer ambae aliigiza kama mfanyakazi wa ndani katika filamu hii iliyoigizwa na HEMED SULEIMAN, ROSE NDAUKA,JENNIFER KYAKA na GRACE MATATA pia yumo JERRY WARYMES.
No comments:
Post a Comment