Pages

Monday, August 13, 2012

KIPINDI CHA X MIX KUANZA LEO DTV


Yule legendary wa madeejay tanzania The big boss DVJ MAJIZO 4 SHIZO leo kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 1 atakuwa anafanya vitu vyake vya hatari sana katika luninga yako ya dtv.katika kipindi cha X MIX guys msikose maujanja haya mapya kabisa kutoka kwa dvj majay.
Na huyu ndio super editor wa X MIX mtu mzima KENNY ROLIN.


No comments:

Post a Comment