Pages

Wednesday, August 22, 2012

HALI YA BI KIDUDE NAYO NI TETE

Yule gwiji la muziki wa mwambao afrika fatuma bint baraka imelipotiwa kuwa hali yake kwa sasa sio nzuri kiafya mpaka kupelekewa kulazwa katika hospital ya mnazi mmoja huko zanziber dua zetu ni kitu muhimu sana kwa bibi huyu hili hali yake irudi kawaida.amin.

No comments:

Post a Comment