Pages

Saturday, August 11, 2012

ELIZABETH MICHAEL ADATISHA KWENYE HOUSE BOY


WATAZAMAJI wa filamu nchini wamedatishwa na uwezo wa muigizaji wa kike anaesota gerezani kwa kesi ya mauwaji ,Elizabert michael a.k.a lulu.alivyoweza kuigiza kwa umahiri mkubwa sana kama mtoto wa Wema sepetu ndani ya filamu inayofanya vizuri sana kwa mauzo sokoni ya HOUSE BOY.Pia yupo mkali mwengine ambae nae yupo jela kwa sasa KAJALA MASANJA. WEMA SEPETU,SHILOLE,MR BLUE,BARAFU,CHUCHU HANS,ZUWENA MOHAMED na Mtanzania aishiye nchini uingereza LIBERT MSUYA.

No comments:

Post a Comment