Pages

Friday, June 29, 2012

USIKU WA LINAH NDANI YA MAISHA CLUB DAR

Mwana dada Linah Akiwa kwenye Vazi lakupnyesha shape 

                    Mwana FA... Akiwa anasalimia washabiki wake na funs wote ndani ya club Maisha Dar...


        FA Akimkumbatia Sister Wake Linah... kwa furaha kubwa show ilivyo bamba mbayaaaaa


          Warembooo ile mbayaaaaaaaaaaa Recho akiwa na wenzake kwenye pozi


                 Manager Robert Akiwa na Super Model Shida Wanjara ndani ya VIP Usiku huo
 
         Nani anasema lina hakumlilia Amini?..........


                  Full Nyomi Ndani Maisha Club Dar.. ilikuwa raha tupu...
        Linah Akifuta Machozi baada ya kumaliza show...



No comments:

Post a Comment