Pages

Tuesday, May 8, 2012

X-DEEJAYZ MAKING THE DROP YA X-SUNDAY THIS WEEK...USIKOSE JUMA PILI HII


Dully akifanya drop maishani kwa jili ya show ya juma pili hii usikose.



Baba levo na soprano wakifanya tangazo la show ya juma pili hii maishani watakuepo pia dont mis it.



stopa pia atakuepo juma pili hii.hii ni show ya kijanja, usikose


tony mnyama katika making the drop


Glla akiongea na blog hii kuhusu show ya juma pili hii,amesema show itakua kali sana na mandalizi yamekwenda poa sana..

No comments:

Post a Comment