Pages

Friday, May 4, 2012

X-DEEJAYZ CORNER @CLUB MAISHA JANA, KWENYE USIKU WA TWANGA PEPETA


Prof J akiwa na dj Ommy wa club maisha,cris wa DTV na sunday jana usiku katika usiku wa twanga pepeta ndani ya club maisha ya dar....


NasRa B na Mama waziri wakiwa ndani ya maisha club jana usiku katika usiku wa twanga pepeta unaokujia kila siku ya ALHAMIS



Customer care na best friend wake Natal mnyama wakiwa maishani jana kwenye usiku wa twanga pepeta.



Ney nai nai katika pozi la kichokozi akiwa maishani jana usiku.



Pacha akiwa na mrembo full pozi ndani ya club maisha kwenye usiku wa twanga pepeta



Side boy Mnenguaji wa twanga pepeta katika pozi jana baada ya show kali ndani ya club maisha







No comments:

Post a Comment