Pages

Sunday, May 13, 2012

X-DEEJAYZ CORNER @CLUB MAISHA IN IBIZA NIGHT


Mnyama dj ommy and tonny wakiwa kikazi zaidi



Shisha inapatikana club maisha sasa kazi kwenu washika dau.


pozi la maishani jana usiku kwenye usiku wa ibiza you dont have to mis it next week



Baby candy akiwa na washika dau maishani Usiku wa ibiza






Mnyama dj ommy akipagawisha mashabiki wa ibiza usiku wa juma mosi


Due santana Radio and tv presenter the new hyper man..... hahahah, akifanya mambo maishani jana usiku








HK and DULLA kwenye poz la kijanja 


  

 




Kibabude the president na aldun katika pozi na IBIZA pale maishani jana


pozi za swaga time kwenye studio za block 14





Mnyama Cyrill  katika mandalizi yake ya show ya 20 may pale maishani

No comments:

Post a Comment