Pages

Thursday, May 24, 2012

UPEPO WA RECHO?


Yeaahh Ndioo!
 Upepo wa Recho utapuliza Ndani Ya NeW MaIsHa ClUb DaR... Hivyo usikose njoo umshuhudie mwana dafada kutoka THT, akipiga show ya ukweli mithili ya Shakira beibeeee!. Akisindikizwa na wasanii kibao.. akiwemo Becka, Young dee, Shilole, makomando na wengine kibaoo.

THIS SUNDAY DON'T MISS THIS SHOW.. SATISFACTION GUARANTEE...

1 comment: