TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, April 1, 2016

HIVI NDIVYO UKIMWI UNAVYOWAMALIZA WAFANYAKAZI KITUO CHA MABASI UBUNGO,WAFANYAKAZI WA KIKE WAONGOZA KWA MAAMBUKIZI, , ROBO TATU YA WASICHANA MAAJENTI NI WAATHIRIKA, MUHANGA MWENZAO ATOA SIRI NZITO PIA WAPO WANAOTEMBEA NA MABOSI ZAO KWA SIRI...!



Na Waandishi wa Maskanibongotz/ Sadiktv
Katika hali ya kushtua mtandao huu wa Maskanibongotz umepokea taarifa za kushtua juu ya kuwepo kwa hali ya hatari kwenye Kituo cha Mabasi Ubungo kufuati kuwepo kwa maambukizi makubwa ya virusi vya Ukimwi huku wahanga wakubwa wakiwa ni baahi ya wanawake wanaojihusisha na  ukataji tiketi maaraufu kama mawakala na maajenti.
Kikosi cha waandishi wetu wa habari za uchunguzi baada ya kupata taarifa hizo waliamua kufunga safari hadi ndani ya kituo hicho cha  kikubwa na chenye umaarufu mkubwa Afrika Mashariki na nje kutokana na kutoa na kupokea mabasi yanayokwenda nchi mbalimbali Afrika.
Mara baada ya waandishi wetu kutua kituoni hapo walikutana na  mtoa habari wetu ambae ni Dada mwenye maambukizi ya Ukimwi jina linahifadhiwa kama anavyoonekana pichani ambapo aliwakalisha waandishi wetu kitako na kuwaeleza ishu nzima jinsi ukimwi ulivyotapakaa huku waathirika wakubwa wakiwa ni wanawake huku ikidaiwa karibia robo tatu ya wasichana wanaonekana hapo ni waathirika.
Dada huyo ambae ni mwenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro alisema alianza kazi ya ukatishani tiketi tangu mwaka 2006 hadi kampuni anayofanyia kazi mabasi yake yanakwenda Mikoa ya Arusha na Moshi na hata maradhi ameyapata hapo hapo akiwa kazini.
Akiongea kwa majonzi makubwa Dada huyo ambae ana watoto waweili ambao bahati nzuri aliwazaa kabla hajakutwa na janga hilo alisema" Ndugu zangu hali ya hapa ni mbaya ukimiwi umesambaa kama upepo, msione mabinti wamenona hivyo na kujazia hivi wote hapa tuna VVU mimi nisema ukweli tu hata nikificha haisaidii, mfano chumba no****** hao wadada wote mabonge wameshaathirika" Alisema  Dada huyo kwa muonekano wa macho kamwe huwezi amini kama ni mgonjwa
Msichana huyo aliendelea kusema " Sababu kubwa inayotuponza ni tamaa kwani kama mnavyojua hapa wanakuja watu wa kila aina tena wenye madini ya kutosha hivyo ni rahisi mtu kuingia kwenye mtego, lakini wapo wasichana wengine wanatembea na mabosi zao ambao ni wamiliki wa mabasi na wamewafanya nyumba ndogo zao huku majumbani kwao wakiwa na wake zao halali hivyo hali hiyo inapelekea maambukizi kusambaa kwenye familia zao" Alisema
Hata hivyo mdada huyo alisema kuwa kikubwa tamaa tu ndiyo inawaponza kwani kama pesa wana pata sana kwenye kazi zao halali za uajenti huku wengi wakishiri michezo ila tamaa za mwili kuwa mpenzi zaidi ya mmoja ndiyo pia inachangia, na pia kutokana na urembo wa maajenti hao huku wengi wao wakiwa mshalaah pia abiria wengi wanapokuja kukata tiketi hunasa kiulaini.
Dada huyo alimalizia kutoa ushauri wake " Kaka tunaomba kupitia habari hii vyombo vinavyohusika kuelimisha kufika hapa Ubungo terminal kwa ajiri ya kutoa elimu la sivyo miaka 10 mbele watu wengi tutakuwa tumeondoka duniani, Mimi najua ni wa kuondoka leo kesho licha ya kwamba nimeanza dozi lakini najua nitakufa hivi karibuni sitokuwa na maisha marefu" Alisea dada huyo kwa masikitizo
Hata hivyo mtandao huu pia ulibata bahati ya kuongea na mpiga debe mmoja ambae nae pia aliomba hifadhi ya jina lake lakini alikuwa na haya ya kusema" Jamani ndugu waandishi Ubungo inatisha kwa maambukizi yani mfano ikitokea labda kila chuamba cha ofisi watu wakapimwa majibu mtakayoyapata hapa Tanzania itatikisika, na sasa kwa vile tupo wanaume na wanawake hivyo wengi wanatembea pamoja kwa kushiriki tendo la ndoa huku pembeni wakiwa na wapenzi wengine hali inayoongeza maambukizi" Alisema
Mtandao huu unashauri mamlaka zinazohusika na kuelimisha kuhusu gonjwa hili kufanya ziara za mara kwa mara kituoni na kutoa elimu kwani la sivyo tuapoteza nguvu kazi kubwa ya Taifa.
Source Maskanibongotz

Magazeti Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 1 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo


20160401_050415-1
20160401_050445-1
20160401_050458-1
20160401_050517-1
20160401_050526-1
20160401_050544-1
20160401_050553-1
20160401_050630-1
20160401_050644-1
20160401_050655-1
20160401_050713-1
20160401_050741-1
20160401_050800-1
20160401_050810-1
20160401_050824-1
20160401_050838-1
20160401_050856-1
20160401_050908-1
20160401_050928-1
20160401_050936-1
20160401_050957-1
20160401_051021-1
20160401_051037-1
20160401_051054-1
20160401_051115-1
20160401_051137-1
20160401_051250-1
20160401_051315-1
20160401_051415-1
20160401_051437-1
Kama ilikupita Video ya magoli ya Yanga Vs Ndanda FC FA CUP March 31 2016, Full Time 2-1

Monday, March 28, 2016

MWANAFUNZI ABAKWA HADI KUZIMIA, MBAKAJI AKUTWA NA SHAHADA MBILI ZA KUPIGIA KURA, WANANCHI WALIOMBA JESHI LA POLIS KANDA MAALUM LIFANYE MSAKO MKALI KWA MTUHUMIWA HUYO ALIYEKIMBIA NA KUACHA NDALA. MASKANIBONGOTZ

 Mama mzazi wa binti huyo aliyebakwa hadi kuzimia akilia kwa uchungu
  Mwandishi wa habari za uchunguzi na watoto toka E-fm Radio Bw Livingstone Mkoi akimuhoji mama huyo na kuelezea jinsi tukio hilo lilivyomshtua kiasi cha presha yake kupanda hadi kulazwa Hosptal ya Mwananyamala
  Hili ni dela ambalo msichna huyo mwenye umri wa mika 14 alikuwa amelizaa siku ya tukio kabla ya kubakwa, na hizo ni damu zilizotokana kubakwa.
  Mwenyekiti wa Taasisi ya WAJIKI " Wanawake Katika Jitihada za Maendelea" Janeth Mawinza akizungumza na Mwandishi Livingstone haonekani pichani, ambapo taasisi hiyo imelani vikal tukio hilo na kuliomba Jeshi la Polisi ikibidi Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr John Pombe Magufuli kusaidia suala hili.
  Baba mkubwa wa binti huyo akionesha dela hilo lilivyotapakaa damu



  Mwanafunzi wa kitado cha tatu, Jina lake na shule anayosoma vinahifadhiwa kwa ajili ya maadili, akizungumza na mwandishi Livingstone Mkoi pembeni na kueleza jinsi alivyochungulia kifo.
  Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar Kamanda
Simon Sirro ameombwa na wananchi kuunda timu maalum kwa ajiri ya kuchunguza tukio hilo la kubakwa mwanafunzi huyo, huku mtuhumiwa akiwa na vitambulisho viwili vya kupigia kura, huku mtuhumiwa huyo akidaiwa kujihusisha na mambo ya kiharifu sehemu mbalimbali ikiwemo Mombasa nchini Kenya.
Rais Mgufuli, wananchi wameomba kutia mkono wake kwenye sakata hilo la mtuhumiwa huyo kukutwa na shahada mbili za kupigia kura.
 RC Makonda

 Hizi ndiyo shahada 2. za kupigia kura zilizokutwa chumbani kwa mtuhumiwa maeneo ya Mwananyamala Mchangani Jijini Dar hivi karibuni

Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Katika hali ya kushtua mwanafunzi wa kidato cha tatu kwenye shule moja iliyopo Temeke Jijini Dar jina linahifadhiwa amenusa umauti baada ya kubakwa na kuchanwa vibaya na kumsababishia maumivu makali.
Tukio hilo lililotoke maeneo ya Mwananyamla Mchangani Jijini Dar na kulipotiwa kituo cha Polisi CCM Mwinyijuma na kupewa kumbukumbu hizi MW/RB/148/2016, na kuwaacha wananchi midomo wazi na majonzi baada ya mtuhumiwa huyo pia kukutwa na shahada mbili za kupigia kura zenye jina lake moja.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni, ambapo kwa mujibu wa wanafamilia wa mwanafunzi huyo walisema kuwa kijana huyo ambae alikuwa anajihusisha biashara ya duka na kutoa na kuweka pesa, ambapo alianza kumdanganya binti huyo kwa kumnunulia chipsi kuku pamoja na kumpa pesa zaidi ya zile alizokuwa anapewa na  wazazi wake.
Hali hiyo ya jemba hilo kumuhadahaa binti ilidumu kwa kipindi kirefu na kufanikiwa kumshawishi bint huyo kwenda chumbani kwake maeneo hayo hayo ya Mwananyamala Mchangani.
Akiongea na mwandishi wa maskanibongotz binti mwenyewe alisema kuwa siku ya tukio kijana huyo alimwambie aende chumbani kwake usiku kwani ana mazungumzo muhimu sana ndipo alipokwenda na kumkuta ya kumkuta.
Msichana huyo akiongea kwa uchungu mara baada ya kutoka Hospital alikolazwa zaidi ya wiki moja.
Msichana huyo alisema" Mara baada ya kufika chumbani kwake alianza kunibaka kwa nguvu licha ya kupiga kelele lakini sikupata msaada na dakika chache baadae nilianza kusikia maumivu makali pamoja na damu nyingi kunitoka na nilijitizama vizuri kumbe nilikuwa nimeshachanika upande wa chini na juu wa maumbile yangu" Alisema msichana huyo huku machozi yakimtoka
Baada ya kuona hali mbaya za binti huyo ambae sasa wakati huo alikuwa anatoka mapande ya damu kama yanavyoonekana pichani alimruhusu aondoke kwa vile nyumbani kwao hapakuwa mbali lakini cha kusikitisha njia nzima damu ilikuwa ikimmwagika.
Hata hivyo alipofika nyumbani binti alizidiwa na kudondoka wazazi wake walipomkaugua ndipo walipogundua kama mtoto wao amebakwa na haraka walikwenda kituo cha polisi CCM Mwinyijuma na kutoa taarifa juu ya tukio hilo na alipewa pf3 na kukimbizwa Hospital huku askari wengine wakienda nyumbani kwa mtuhumiwa lakini kwa bahati mbaya walimkuta amekimbia na kuacha kila kitu chumbani kwake vikiwemo vitambulisho viwili vya kupigia kura vyenye jina  lake.
Sakata hili la kubakwa mwanafunzi huyu linakwenda kwa kusua sua sana kiasi cha familia ya msichana huyo kumuomba Rais John Pombe Mgufuli au Waziri Mkuu kuwasaidia kwa kile walichodai Polisi kuna mambo mengi sana isitoshe Mama wa mtuhumiwa amefunga safari toka Mombasa na kufika kituo cha Polisi Osterbay na kudaiwa kuweka mipango sawa.
Aidha wananchi wameliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum kulichukulia kwa usiliasi hili jambo lwa mtuhumiwa huyu kukutwa na shahada mbili za kupigia Kura je alizipataje na kisha litoa majibu kwa wananchi.
Maskanibongotz ilifanya mawasiliano na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni na kutaka kufahamu kama taarifa za tukio hili zipo mezani kwake tayari ama laa, kwa bahati mbaya simu yake iliita bila kupokelewa.
Credit: maskanibongotz

Friday, March 25, 2016

DOKATA KAMGEDE MGANGA WA MASTAA AELEZA SIRI NZITO ZA MWANAMUZIKI DIAMOND NA MAMAAKE, USHIRIKINA WATAJWA KUDIDIMIZA MAISHA YA WATU..!


  MWANAMUZIKI DIAMOND AKIWA NA MAAKE MZAZI

  MTAALAM WA TIBA ZA ASILI TANZANIA ANAETAMBULIWA NA CHAMA CHA WAGANGA WA ASILI TANZANIA DOKTA KAMDEGE AKIWA OFISINI KWAKE TABORA WILAYA YA SIKONDE KIJIJI CHA UKANGA

 Na Mwandsihi Wetu -Tabora
Mganga maarufu nchini Tanzania na Duania kwa ujumla Dokta Kamdege ambae ni mtaalamu wa miti shamba ametoa siri nzito za ukaribu wa Mwanamuziki Diamond na Mamaake.
Mganga huyo toka Tabora ambae amekuwa akiumiza vichwa wazungu kwa tiba zinazotokana na miti shamba na ya asili ameongea na mwandishi wa gazeti la Maskani Bongo hivi karibuni na kueleza sababu kubwa ya mwanamuziki huyo nyota kuwa karibu na Mamaake alisema" Unajua yanaweza kuzungumzwa mengi juu ya huyu kijana wangu Diamond na jinsi anavyoonesha upendo wa dhati kwa mamaake hii ndiyo njia pekee inayompa baraka za mafanikio Diamond kwani Mama mzazi ni sehemu ya kwanza ya mafanikio katika maisha ya mwanadamu" Alisema
Aidha mganga huyo ambae amewahi kukaririwa na vyombo vya habari kuwa amechangia kumtoa mwanamuziki huyo kwa kumjaria kwa kutumia miti shamba aliongeza kusema kwa sasa mwanamuziki wake huyo ataendelea kuwa juu kutokana na radhi njema ya mamaake.
Dokta Kamdege ambae ameendelea kuweka rekodi kwa miti shamba zake anazotibu watu magonjwa mbalimbali lakini pia na kuwatengenezea watu njia za maisha baada ya kuharibiwa na wabaya, akielezea matukio mbalimbali yanayopelekea watu kushindwa kuendelea kwenye maisha alisema " Unajua kila binadamu na imani yake lakini mtu kama hajafikwa na majanga basi hawezi kuamini kama duniani kuna uchawi.
,Kamdege aliendelea kusema "Binadamu ni wabaya sana wanaharibia wenzao maisha makusudi, watu wamesoma lakini wanashindwa kupata  au kupandishwa vyeo, watu wanapandikizwa mikosi ya kila aina ili amradi wasipate maendeleo hivyo kama mtu ukigundua hali hiyo usikae kimya basi wahi ofisini kwake ukafunguliwe njia kwa kupewa zindiko maalum ambapo mtu mmbaya akijaribu kukugusa kwa nguvu za giza basi ataumbuka live" Alisema Kamdege
Mganga huyo alimaliza kusema uchawi upo na hata kwenye biblia au vitabu vingine vya mungu umetajwa na bado watu wanautumia kwa kuharibu maisha ya wengine hivyo kwa vile mungu amempa kalama yeye ya kujua miti shamba ya kutatua tatizo hilo basi ni vyema watu waendelee kufika kwake ili waweke sawa mambo yao kwa vile shetani nae anafanya kazi masaa yote kama walivyo wao hivyo ni lazima wawahi kupata tiba
Namba zake kwa yeyote mahara alipo Duniani basi awasiliane nae kwa namba hizi  0763-146231 au 0788-844490 na watasaidiwa kwani fitina zimetawala sana miongoni mwa jamii.

Wednesday, March 23, 2016

DOKTA KAMDEGE AFANYA BALAA NCHINI KENYA, BURUNDI,WABUNGE, MAWAZIRI WA SERIKALI WAPIGANA VIKUMBO KUPATA MITI SHAMBA, SASA AREJEA TANZANIA NA KUTOA UWITO MZITO..!

 Dokta Kamdege maarufu kama mganga wa mastaa hapa akiwa kwenye ofisi yake kama anavyoonekana miti shamba ikiwa imetapakaa..!
  Dokta Kamdege maarufu kama mganga wa mastaa hapa akiwa kwenye ofisi yake kama anavyoonekana miti shamba ikiwa imetapakaa..!
 Dokta Kamdege maarufu kama mganga wa mastaa hapa akiwa kwenye ofisi yake kama anavyoonekana miti shamba ikiwa imetapakaa..!
Na Mwandishi Wetu
Yule mganga maarufu nchini Tanzania mwenye kutambuliwa na chama cha waganga wa tiba za asili Tanzania Dokta Kamdege hatimae amelejea nchini Tanzania baada ya ziara ndefu nchi za nje.
Akiongea na gazeti hili Dokta Kamdege amesema kwa kipindi chote hicho alikuwa nchini Kenya na Burundi kwa ajiri ya kuwasaidia watu walikumbwa na matatizo ya nguvu za gizo ambapo ziara yake ilikuwa na mafanikio sana kwani hadi viongozi wakubwa wa Serikali walifika kumuona kwa ajiri ya kupata msaada.
Dokta huyo aliongeza kusema " Ndugu mwandishi ujue dunia imetawaliwa na nguvu za giza hivyo watu wengi wamefungwa kwenye maendeleo watu wamesoma, wanafanya kazi lakini maendeleo hamna wajanja wanakuwa wamewazunguka kwa nguvu za giza" Alisema Dokta Kamdege
Mganga huyo aliongeza kusema  matatizo hayo ya wananchi kuzibiwa ridhiki zao, kupewa mikosi, kushindwa kupandishwa vyeo licha ya elimu walizokuwa nazo na mara nyingi matatizo hayo yote yanamalizwa na dawa za miti samba kwa kusafishwa  na kupewa zindiko maalum litakalokusaidia maishani mwako kwenye majukumu ya kutafuta ridhiki.
Kamdege kwa sasa amesharejea mkoani kwake Wilaya ya Sikonge Kijiji cha Ukanga Mkoani Tabora na atakuwa hapa Tanzania kwa miezi mitatu hadi mwezi wa sita hivyo kwa mtanzania yeyote mwenye dalili za kuzibiwa ridhi, kuwa na mikosi, kushindwa kupata kazi, kushindwa kupata watoto, kushikwa na ganzi nk wacheki nae kwa namba 0763-146231 au 0788-844490 na watasaidiwa kwani fitina zimetawala sana miongoni mwa jamii.