TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, August 15, 2015

WEMA SEPETU ANASA KWA MSANII WA SINEMA WA MMAREKANI, WAFUMWA USIKU WA MANANE WAKIWA MAISHA BASEMENT, MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE WAPIGANA VIKUMBO..!

 bofya hapa kuona filamu ya kimataifa ya Going Bongo


Na Mwandishi Maalum

 Mjini bwana kuna mambo mengi sana hasa ukijichanganya kwenye viunga flani flani vya burudani utasikia yanasemwa mazito na usiyoyatagemea, ambapo kwa sasa habari mpya ya mjini ni juu kijana Ernest Napoleon ambae makazi yake nchini Marekani lakini ni mtanzania ambae kwa sasa yupo hapa mjini kwa mapumnziko mafupi. Ernest Napoleon ni staa wa filamu ya Kimataifa ya Going Bongo imeelezwa kuwa kwa sasa anadaiwa kuwa kwenye mahusiano mazito na staa wa Bongo Movie Wema Isack Sepetu hayo yanasemwa na watoto wa mjini wanaofatilia maisha ya mastaa kwa kila kukicha, Gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita ilipita katika kiunga cha starehe cha Maisha Basement maeneo ya Makumbusho na kuzinyaka nyepesi nyepesi hizo toka kwa wadau hao. Vyanzo hivyo vya habari vilieleza baada ya kumuona Ernest Napoleon akiingia na ndinga ya kinyamwezi VOUGE yenye namba za usajili CBK 859 katika viunga vya Club hiyo huku gari hiyo ikiwa na vioo tinted ya ukweli ambayo hata ukisogea jirani huwezi kuona kilichopo ndani lakini watu wataalam bwana walipenyeza macho na kuona bint mrembo ambae wengi walisema alihisiwa ni Wema Sepetu. Hata hivyo paparazi wetu ambae baada ya kusikia minong'ono hiyo alikurupuka toka ndani nusura ateleze kwenye ngazi ndefu zilizopo kwenye Club hiyo iliyopo chini kabisa na kusogea karibu ili nae asipitwe na taarifa hizo na na kushuhudia gari hiyo yenye thamani ikiwa ikiwa inanguruma zaidi ya masaa manne bila watu kushuka. Habari zaidi juu ya tukio hilo zilieleza kuwa gari hiyo iliingia maeneo hayo majira ya saa tatu usiku hadi saa saba usiku baadae Ernest Napoleon alishuka na kuelekea mahara wanapouza chakula ndani ya Club hiyo na baadae alirejea na kuingia tena ndani ya gari kisha iliondoka na kuelekea maeneo ya Mikocheni kupitia zilizpo ofisi za Mlimani Tv. Baada ya tuki hilo mmoja wa watu wa karibu na Ernest Napoleon alimwambia mwaandishi wetu kuwa msanii huyo yupo kwenye mahusiano ya karibu na Wema Sepetu bila kufafanua ni uhusiano upi haswa waliokuwa wasanii hao wenye jinsia mbili tofauti, hiyo imekuja baada ya Ernest Napoleon kung'ara na filamu yake ya Going Bongo ambayo hadi sasa imeshaoneshwa zaidi ya nchi saba Duniani zikiwemo nchi ya China, Ujerumani, Uturuki, Marekani, Uingereza, Kenya na nchi nyinginezo ikiwemo Nigeria. Aidha habari nyingine toka kwa vyanzo vyetu vya habari vilisema kuwa mastaa wengi wa kike hasa wa bongo movie wamekuwa wakipigana vikumbo kuwa karibu na msanii huyo tangu siku filamu hiyo iipooneshwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania huko Zanzibar na kufanikiwa kuchukua tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki na kati, mastaa hao waliotajwa kujiweka karibu ni Lulu Michael,Joketi Kidoti, Irene Uwoya, Jackline Wolper na Dvj Penniel ambae kwa muda mrefu alikuwa mafichoni toka abwage manyanga kwenye kituo cha E-fm Radio 93.7 alichokuwa anatangaza. Joketi na Ernest Napoleon walianza kutia shaka toka siku ilipooneshwa filamu hiyo kwenye ZIFF, Kidoti alishindwa kujizuia ambapo mara ya kumalizika filamu hiyo alimfuata Ernest na kumkumbatia pamoja na kumbusu kiasi cha kuwashtua watu huku akimpongeza msanii huyo kwa kazi nzuri ya kimataifa lakini cha zaidi Kidoti alimwambia Ernest kuwa hakuamini kama filamu hiyo imeigizwa na mtanzania kutokana na kuwa na hadhi ya juu sana na kwa haraka mtu huwezi huwezi amini. Gazeti hili lilianza kumtafuta Ernest Napoleon kupitia simu yake ya kiganjani ili kuthibitisha madai hayo yote juu ya mahusiano hayo ambapo alipatikana na kuelezea ukweli wa mambo na swali la kwanza lilikuwa kutaka kujua mahusiano yake na Wema yakoje jibu lake ni hili " Kaka mbona mimi sielewi unamaanisha nini? kwani mimi namfahamu Wema kama wewe unavyomfahamu si vinginevyo" Alijibu Ernest, Lakini gazeti hili pia liliuliza kama mtu aliyekuwa nae usiku pale Club ndani ya gari alikuwa nani majibu mengine. Msanii huyo alicharuka na kuwa mkali kama hivi " Sasa huo ni unafiki kwani nyie mliniona nae wapi na mnauhakika gani kama yule alikuwa ni Wema hayo majungu mimi nilikuwa na mtu mwingine lakini siyo Wema" Alijibu Ernest na kukata simu hata alipopigiwa simu tena mara ya pili na kuulizwa kuhusu madai ya ukaribu na mastaa wa bongo movie wa kike alisema kuwa ukaribu aliokuwa nao ni kujadiliana kuhusu sanaa ya bongo namna watakavyoifikisha kimataifa huku akisema Dvj Penniel ambae siye muigizaji yeye alikuwa na mishe nae mambo ya kazi sio sanaa wala mambo mengine wanayofikiria watu Credit:Maskanibongotz
KAMA UNA HABARI YENYE USHAHIDI WASILIANA NA 93.7 E-FM, SIMU 0713-575718 Browse » Home WEMA SEPETU ANASA KWA MSANII WA SINEMA WA MMAREKANI, WANASWA USIKU WA MANANE WAKIWA MAISHA BASEMENT, MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE WAPIGANA VIKUMBO..! Posted by maskani bongo at 11:25 AM bofya hapa kuona filamu ya Goingi Bongo ambayo imewadatisha mastaa wengi wa bongo movie kiasi cha kumuweka mtu kati staa wa filamu hiyo Ernest Napoleon Na Mwandishi Maalum Mjini bwana kuna mambo mengi sana hasa ukijichanganya kwenye viunga flani flani vya burudani utasikia yanasemwa mazito na usiyoyatagemea, ambapo kwa sasa habari mpya ya mjini ni juu kijana Ernest Napoleon ambae makazi yake nchini Marekani lakini ni mtanzania ambae kwa sasa yupo hapa mjini kwa mapumnziko mafupi. Ernest Napoleon ni staa wa filamu ya Kimataifa ya Going Bongo imeelezwa kuwa kwa sasa anadaiwa kuwa kwenye mahusiano mazito na staa wa Bongo Movie Wema Isack Sepetu hayo yanasemwa na watoto wa mjini wanaofatilia maisha ya mastaa kwa kila kukicha, Gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita ilipita katika kiunga cha starehe cha Maisha Basement maeneo ya Makumbusho na kuzinyaka nyepesi nyepesi hizo toka kwa wadau hao. Vyanzo hivyo vya habari vilieleza baada ya kumuona Ernest Napoleon akiingia na ndinga ya kinyamwezi VOUGE yenye namba za usajili CBK 859 katika viunga vya Club hiyo huku gari hiyo ikiwa na vioo tinted ya ukweli ambayo hata ukisogea jirani huwezi kuona kilichopo ndani lakini watu wataalam bwana walipenyeza macho na kuona bint mrembo ambae wengi walisema alihisiwa ni Wema Sepetu. Hata hivyo paparazi wetu ambae baada ya kusikia minong'ono hiyo alikurupuka toka ndani nusura ateleze kwenye ngazi ndefu zilizopo kwenye Club hiyo iliyopo chini kabisa na kusogea karibu ili nae asipitwe na taarifa hizo na na kushuhudia gari hiyo yenye thamani ikiwa ikiwa inanguruma zaidi ya masaa manne bila watu kushuka. Habari zaidi juu ya tukio hilo zilieleza kuwa gari hiyo iliingia maeneo hayo majira ya saa tatu usiku hadi saa saba usiku baadae Ernest Napoleon alishuka na kuelekea mahara wanapouza chakula ndani ya Club hiyo na baadae alirejea na kuingia tena ndani ya gari kisha iliondoka na kuelekea maeneo ya Mikocheni kupitia zilizpo ofisi za Mlimani Tv. Baada ya tuki hilo mmoja wa watu wa karibu na Ernest Napoleon alimwambia mwaandishi wetu kuwa msanii huyo yupo kwenye mahusiano ya karibu na Wema Sepetu bila kufafanua ni uhusiano upi haswa waliokuwa wasanii hao wenye jinsia mbili tofauti, hiyo imekuja baada ya Ernest Napoleon kung'ara na filamu yake ya Going Bongo ambayo hadi sasa imeshaoneshwa zaidi ya nchi saba Duniani zikiwemo nchi ya China, Ujerumani, Uturuki, Marekani, Uingereza, Kenya na nchi nyinginezo ikiwemo Nigeria. Aidha habari nyingine toka kwa vyanzo vyetu vya habari vilisema kuwa mastaa wengi wa kike hasa wa bongo movie wamekuwa wakipigana vikumbo kuwa karibu na msanii huyo tangu siku filamu hiyo iipooneshwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania huko Zanzibar na kufanikiwa kuchukua tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki na kati, mastaa hao waliotajwa kujiweka karibu ni Lulu Michael,Joketi Kidoti, Irene Uwoya, Jackline Wolper na Dvj Penniel ambae kwa muda mrefu alikuwa mafichoni toka abwage manyanga kwenye kituo cha E-fm Radio 93.7 alichokuwa anatangaza. Joketi na Ernest Napoleon walianza kutia shaka toka siku ilipooneshwa filamu hiyo kwenye ZIFF, Kidoti alishindwa kujizuia ambapo mara ya kumalizika filamu hiyo alimfuata Ernest na kumkumbatia pamoja na kumbusu kiasi cha kuwashtua watu huku akimpongeza msanii huyo kwa kazi nzuri ya kimataifa lakini cha zaidi Kidoti alimwambia Ernest kuwa hakuamini kama filamu hiyo imeigizwa na mtanzania kutokana na kuwa na hadhi ya juu sana na kwa haraka mtu huwezi huwezi amini. Gazeti hili lilianza kumtafuta Ernest Napoleon kupitia simu yake ya kiganjani ili kuthibitisha madai hayo yote juu ya mahusiano hayo ambapo alipatikana na kuelezea ukweli wa mambo na swali la kwanza lilikuwa kutaka kujua mahusiano yake na Wema yakoje jibu lake ni hili " Kaka mbona mimi sielewi unamaanisha nini? kwani mimi namfahamu Wema kama wewe unavyomfahamu si vinginevyo" Alijibu Ernest, Lakini gazeti hili pia liliuliza kama mtu aliyekuwa nae usiku pale Club ndani ya gari alikuwa nani majibu mengine. Msanii huyo alicharuka na kuwa mkali kama hivi " Sasa huo ni unafiki kwani nyie mliniona nae wapi na mnauhakika gani kama yule alikuwa ni Wema hayo majungu mimi nilikuwa na mtu mwingine lakini siyo Wema" Alijibu Ernest na kukata simu hata alipopigiwa simu tena mara ya pili na kuulizwa kuhusu madai ya ukaribu na mastaa wa bongo movie wa kike alisema kuwa ukaribu aliokuwa nao ni kujadiliana kuhusu sanaa ya bongo namna watakavyoifikisha kimataifa huku akisema Dvj Penniel ambae siye muigizaji yeye alikuwa na mishe nae mambo ya kazi sio sanaa wala mambo mengine wanayofikiria watu Credit:Maskanibongotz Make $35 per hour : http://bit.ly/elance_web

Make $35 per hour : http://bit.ly/elance_web

Tuesday, August 11, 2015

MAPINDUZI HALISI: WAANDISHI WA HABARI WAISHUHUDIA MAAJABU YA FILAMU YA WAKE UP, MASTAA WA BONGO MOVIE WAMPONGEZA MSANII MANAIKI SANGA KWA KIPAJI ALICHOONESHA..!



WASANII WA BONGO MOVIE WAKIONGOZWA NA STAA WA FILAMU YA WAKE UP MANAIKI SANGA AKIZUNGU,MZA NA WAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI KWENYE MKUTANO NAO ULIOFANYIKA JUZI NA WAANDISHI KUBAHATIKA KUISHUHUDIA FILAMU HIYO LIVE PAMOJA NA KUTAJWA TAREHA RASMI YA KUTOKA FILAMU HIYO ILIYOWAKUTANISHA MASTAA WA BONGO MOVIE ZAIDI YA 30 NDANI YAKE
WASANII NYOTA WA KIKE TANZANIA IRENE UWOYA NA JACKLINE WOLPER WAMESEMA KUWA FILAMU HIYO YA WAKE UP ITAMFIKISHA MBALI MSANII MANAIKI SANGA NA PIA NDANI YA FILAMU HIYO AMEONESHA MAAJABU MAKUBWA KWA KUCHEZA KWA KIWANGA KIKUBWA HADI KUWAFUNIKA MASTAA WENZAKE WA KIUME.
                                 
MSANII ZIGAMBO AMBAE NDANI YA FILAMU HIYO AMEPAMBANA VIKALI NA MASTAA KAMA HEMD, MLELA, MZEE MAJUTO, MUHINDI WA MASOGANGE NA WENGINEO, AKIWAELEZA CHOCHOTE WANA HABARI
BOFYA HAPA KUIONA FILAMU HII KWA MARA YA KWANZA

  FILAMU HIYO SASA  IMETAJWA TAREHA YA KUTOKA AMBAYO NI 31.08. 2015 NA ITASAMBAZWA NA KAMPUNI YA STEPS HUKU FILAMU HIYO IKIVUNJA REKODI YA GHARAMA ZA UANDAAJI PAMOJA NA MANUNUZI NA NDANI YA TAREHE HIYO ITAPATIKANA NCHI NZIMA HUKU WATU WA NCHI ZA UGANDA, KENYA NA KONGO WAKIOMBWA WASUBIRI BAADA YA WIKI MBILI PIA ITAPATIKANA HUKO KWANI TAYARI WASAMBAZAJI WA NCHI HIZO WAMEIHITAJI KUTOKANA WATU WENGI KUWA NA HAMU YA KUINGALIA.

Monday, August 10, 2015

MASIKINI YA MUNGU: WASANII RAY NA JB KWISHA HABARI YAO. KAZI ZAO ZASHUKA CHINI YA KIWANGA KWA 43%, KAMPUNI YA STEPS HUENDA IKASITISHA MKATABA NAO..!%



 Msanii wa tasnia ya filamu Tanzania Jakob Steven JB ambae kwa sasa imelezwa kuwa kiwango chake cha kuigiza kimeshuka sana kiasi cha kupoteza mvuto kwa mashabiki  huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kampuni ya usambazaji filamu ya Steps ikampiga chini kwani kazi zake haziuzi kabisa huku zikiwa zimekosa ubunifu. Hata hivyo wadadisi wa mambo wanasema kuwa sababu ya kushuka kisanaa kwa Jb ni kutokana na kuridhika na kulewa ustaa wa kibongo bongo bila kutambua kama Watanzania wengi walimtegemea yeye baada ya kifo cha Kanumba lakini hadi sasa anazidi kurudi nyuma baada ya kupanda ili kuifikisha sanaa ya bongo kimataifa.
 Vicent Kigosi Ray ambae nae kwa sasa anapumulia mashine kutokana na kazi zake kushindwa kufikia malengo ya kimataifa na hajawahi kufanya kazi yoyote iliybamba Afrika Mashariki zaidi ya kazi alizowahi kufanya na rafiki yake Marehemu Steven Kanumba na kufanikiwa kuzikonga nyoyo za Wakongo pamoja mashabiki wa Afrika Mashariki na Kati
Sababu nyingine ambayo imemfanya Ray kushuka kwa kiwango chake kiasi cha kuzidiwa hata na msanii chipukizi Manaiki Sanga ambae hana hata miaka mitatu kwenye sanaa, ilidaiwa kulinga kwa msanii huyo na kujiona amemaliza kazi kwa kujurikana Tanzania, baadhi ya waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari waliofika kwenye uzinduzi wa Club Maisha Basement hivi karibuni walikera na tukio la msanii huyu kugoma kupigwa picha na waandishi ili hari siku hiyo ilikuwa maalum kwa ajiri ya watu maarufu kwa Tanzania, huku msanii mwenzake Jb akikubari kupigwa picha.
 Filamu ya Going Bongo ya msanii Ernest Napoleon ambae ni mtanzania aishie nchini Marekani ambayo hivi karibuni ilizinduliwa Zanzibar kwenye tamasha la maonesho ya Filamu ya nchi za Majahazi ZIFF na kushinda tuzo maalum ya filamu bora Afrika Mahariki na kati. Filamu hii imeonekana kuchangia kuwamaliza Jb na Ray kwani imekuwa filamu ya kwanza kuigiza kwenye nchi za Marekani na Tanzania na kushirikisha wasanii wengi huku gharama yake usipime.
 Ernest Napoleon
 Ernest Napoleon katika tuzo huko Zanzibar
 Ernest Napoleon akiwa kwenye uzinduzi wa filamu yake nchini Marekani ambapo filamu hiyo ya Going Bongo hadi sasa imekwisha zinduliwa zaidi ya nchi 7 Duniani.

 Libert Msuya mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania ambae ni rafiki wa karibu na Ernest Napoleon ambae nae ni msanii wa Bongo Movie mwenye malengo ya kuifikisha sanaa ya Tanzania kimataifa na sio kutaka kujulikana hapa hapa nchini kama wafanyavyo mastaa wengine.
 Hii ndiyo demo ya filamu ya msanii Manaiki Sanga bofya hapa kuiona
 
Msanii Manaiki Sanga the Don ambae nae ameleta mapinduzi makubwa kwenye sanaa ya Tanzania kwa kufanya movie ya kimataifa ambayo haijawahi kufanywa na msanii yeyote tangu tasnia ya filamu ianze nchini.Manaiki ambae ndiye staa wa filamu ya Wake Up ambayo amewahenyesha wasanii mastaa zaidi ya 3o wa bongo movie huku filamu hii ikiwa ni ya pili kwake ambapo miaka 3 iliyopita alitoka na filamu ya Ngema ambayo nayo ilibadilisha soko la filamu Afrika Mashariki na kati na kuwa filamu iliyonunuliwa na watu zaidi ya laki 9 na elfu tisni. Hata hivyo kwenye hii filamu ya Wake Up ambayo inatarajia kutoka mwisho wa mwezi huu na kwa maelezo zaidi unaweza kumfollow Manaiki Sanga kwenye Instagram
Ernest Napoleon
Na Hii ni Demo ya Filamu yake ya Going Bongo ebu icheki

 

MSICHANA ABAKWA AKIFUNDISHWA NAMNA YA KUOGELEA BAHARINI MAENEO YA COCO BEACH, ALIANZA KWA KUMSHIKA SHIKA HARAFU AKAMALIZA MCHEZO..!


 BOFYA HAPA KUONA FILAMU YA KARNE YA AMSANII MANAIKI SANGA IITWAYO WAKE UP AMBAYO TAREHE 31. MWEZI HUU ITAKUWA MTAANI KWA MAELEZO ZAIDI CHEKI NAE KWENYE Instagram manaiki Sanga


KAMA WEWE NI MWANAMKE ANAEHITAJI KUFUNDISHWA KUOGELEA HAKIKA UWE MAKINI NA HAWA VIJANA WAFUNDISHAJI WA KUOGELEA ONA ALICHOFANYIWA HUYU BINT, ALIANZA KUPELEKWA KWENYE KWENYE KINA CHA MAJI MAREFU HUKO HUKO JAMAA AKAMALIZA MAMBO.
Credit: Maskani Bongo

DIAMOND, BABU TALE WAFANYA UMAFIA WA KUTISHA NCHINI UINGEREZA, WATANZANIA WAISHIO NCHINI HUMO WAPIGWA NA BUTWAA, SIRI YA MAONESHO YAKE YAFICHUKA..!



FILAMU YA WAKE UP YA MSANII MANAIKI SANGA AMBAY MWISHO WA MWEZI HUU ITAKUWA MTAANI KWA MAELEZO ZAIDI MCHEKI KWENYE Manaiki Sanga instagram utapata mengi zaidi kuhusu movie hiyo
 DEMO YA FILAMU YA GOING BONGO EBU BOFYA HAPA KUONA MAAJABU YA MSANII HUYU WA KITANZANIA ALIYEFANYIWA UMAFIA WA KUTISHA NA MSANII DIAMOND
 Ernest Napoleon staa wa filamu ya Going Bongo

Na Ripota maskanibongotz Uingereza
Katika hali isiyokuwa ya kawaida siri nzito imevuja kuhusu shoo anazozifanya nje ya nchi msanii Diamond hasa nchini Uingereza na kubainika kuwa kumbe mwanamuziki huyo hufanya maonesho yake sehemu yenye hadhi ya chini na inayokaliwa na watu masikini kupita kiasi.
Habari za uhakika toka kwa Raia mmoja toka nchini Kenya aliyejitambulisha kwa jina la Otieno ambae pia mshirika kwa moja ya kampuni za mapromota wanawaandalia shoo wasanii wa Afrika Mashariki na Kati ambae anaishi nchini Uingereza alisema" Unajua tatizo la wanamuziki wa Tanzania ni kuficha ukweli wa mambo mara nyingi huwa nasikia wakitamba kuwa wao ni wa kimataifa na shoo zao za kimataifa awa wapi hiyo sio kweli mafano mzuri ni onesho la Diamond alilolifa tarehe 16 may, 2015.
Otieno aliendelea kusema katika onesho hilo Diamond alilifanya katika eneo la East London eneo ambalo hukaliwa na watu masikini na wenye hadhi ya chini na hata kiingilio chao huwa ni kidogo sana " Kwa wanaojiua Uingereza watakuwa wanailijua eneo hili kiukweli ni eneo ambalo wasanii wengi wanaoitwa wenye hadhi ya chini ndiyo hutupwa huk, lakini kumekuwa na uposhwaji na sijui ni promo au nini utakuta msanii anapopata nafasi ya kupelekwa huko basi katika nchi yake hutangaza kuwa anakwenda kufanya shoo Uingereza bila kutaja eneo analokwenda kufanya onesho lake yeye anachong'ang'ania ni Uingereza ili watu watishike na kumuona wa matawi ya juu" Alisema Promota huyo
Promota huyo aliongeza kusema Diamond hajulikani hata kidogo nchini Uingereza ndiyo maana hata hutupwa huko polini na ili kuona kama hajulikana wanaokuja kuhudhuria onesho lake ni watanzania wachache tu ambao hawazidi hata elfu 20 na huwezi kukuta mastaa wakubwa wanashiriki onesho lake kutokana na kutomtambua na kushindwa kufahamu anachokiimba mwanamuziki huyo.
Habari zaidi zilielezwa kuwa wasanii wenye ubavu wa kufanya onesho katika ya mji wa Uingereza ni kama Davido,  Jose Chamilioni, P-Square na wengineo na sababu kubwa ya wasanii hao kufanya maonesho hayo katikati ya mji ni kutokana na Wanigeria wengi kuishi katikati ya mji ambapo ilikadilikiwa wanigeria zaidi ya laki mbili wanaishi katikati ya mji hali, lakini pia kutokana na kazi zao kujulikana kimataifa kuliko za Diamond.
Hata hivyo mkenya huyo alisikitishwa na tukio la Diamond la kumfanyia umafia msanii mwenzake aishie nchini Marekani aliyefika kwenye onesho lake kwa ajili ya kuonesha trailer ya filamu yake iitwayo Going Bongo.
Otieno alisema kuwa  Ernest Napoleon ambae ni msanii wa Kitanzania na ndiye staa wa filamu ya Going Bongo  aliongea na promota wa Bongo Deejays walio-organize concert hiyo kuonyesha trailer ya Going Bongo kabla ya Diamond kupanda jukwaani. Ernest Napoleon alilipia projector pamoja na hela ya kuonyesha trailer yake.
 Mkenya aliongeza kusema Trailer hiyo ilijaribiwa kabla ya shughuli hiyo kuanza, na kutokuwa na hitilafu yeyote kwa upande wa
picha au sauti. Lakini baada ya Ernest Napoleon kupanda jukwaani na kumtangaza Diamond  pamoja
na movie yake ya Going Bongo, deejay wa Diamond aliingia ghafla kwenye mitambo na kuondoa sauti ya
trailer.
Wakati huo huo Diamond alipelekewa Mic backstage na kuanza kuimba wakati trailer hiyo ikionyeshwa.
Ernest Napoleon alishuka kwenye stage kufuatilia kwa nini trailer inaonyeshwa bila sauti, Diamond aliingia stejini na kuanza kutumbuiza huku trailer hiyo ikimuulika kifuani mwake hali ilionesha Diamond aliamua kumfanyia umafia msanii huyo.
Kilichofuatia ni mvutano kati ya Ernest Napoleon na team ya Diamond kuhusu hitilafu ambazo hazikuonekana kabla ya trailer hiyo kuonyeshwa. Promota wa event hiyo baada ya majadiliano ya muda mrefu na kwa shingo upande walirejesha pesa waliyopewa ingawa hawakulipia projector ambayo ililetwa special kwa ajili ya kuonyesha Going Bongo.
Wiki kadhaa baada ya onyesha la Diamond ambalo lilifanyika eneo la East London ambapo wasanii wengi wa Bongo hufanya matamasha yao kutokana na bei nafuu ya eneo hilo ambalo linakaliwa na watu wenye kipato cha chini mjini, London, Going Bongo ilizinduliwa West London katika eneo ambalo movie au show za muziki kutoka Afrika hazifanyiki kwa sana.
Uzinduzi wa Going Bongo ulihudhuriwa na mastaa wa Uingereza wakiwemo wa jumba la Big Brother Uingereza, Akia Katobe wa Mad Men, Sean Cronin wa Mission Impossible, Grace Andrews wa Towie, Ella Jade wa Apprentice na wengineo wengi. Uzinduzi huo uliandikwa na media nyingi kubwa za Uingereza zikiwemo Daily Mail
 Kitendo hicho kilionekana kumkera mkenya huo na kupelekea kumdharau mwanamuziki huyo kwa roho ya kiswahili aliyomfanyia mtanzania mwenzake.
Gazeti hili lilipomtafuta sataa wa filamu ya Going Bongo Ernest Napoleon ili kuthitibisha taarifa alikiri ni kweli kulikuwa kumetokea tukio hilo dhidi yake kutoka kwa Mwanamuziki huyo lakini alishasamehe muda mrefu na ndiyo maana ni tukio la toka mwezi wa tano lakini yeye hakuwahi kusema lakini kiukweli tukio hilo liliwashtua hata raia wa Tanzania waishio nchini Uingereza.
Upande wa Diamond alipotafutwa kupitia simu yake ya kiganjani ili aweze kuzungumzia tukio hilo simu yake haikupokelewa licha ya kugigwa zaidi ya mara sita hadi gazeti hili linaenda mitamboni.
Source: maskanibongotz

Wednesday, August 5, 2015

MANAIKI SANGA NA STAA WA FILAMU YA GOING BONGO WAISHIKA BONGO MOVIE KIMATAIFA, JB AMVULIA KOFIA MANAIKI SANGA KWA KAZI YA WAKE UP..!

 WASANII: Manaiki Sanga kulia akiwa na Ernest Napoleon  ambapo wasanii hao kwa pamoja sasa wameungana kuhakikisha wanaipeleka sanaa ya filamu ya Tanzania Kimataifa, ambapo Ernest Napoleon kwa sasa yupo nchini Kenya kwa ajiri ya maandalizi ya uzinduzi wa filamu yake ya Going Bongo hivi karibuni filamu ya Manaiki Sanga aliyowashirikisha wasanii mastaa zaidi ya 30 pamoja na sasa tarehe ya kutoka filamu hiyo ya Wake Up imetajwa mbapo ni tarehe 30 mwezi huu.


Hii ndiyo listi ya wasanii walioshiriki  kwenye filamu ya Wake Up .

Tuesday, August 4, 2015

MOVIE YA WAKE UP YAVUNJA REKODI YA FILAMU ZOTE TANZANIA, MAPROFESA CHUO KIKUU WAMPONGEZA MSANII MANAIKI SANGA WAMTABIRIA KUIFIKISHA SANAA YA BONGO KIMATAIFA

HII NI BAADA YA KUMALIZA PRESS CONFERENCE NIKIWA NA BAADHI YA WASANII WENZANGU...MANAIKI PRODUCTION NA HII NDIYO POSTER YA MUONEKANA WA FILAMU HIYO. Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ