TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, March 20, 2015

PAMOJA RECORDS YASHUSHA VIFAA VIPYA VYA STUDIO, YATOA PUNGUZO KWA WASANII WACHANGA KUREKODI...!

Msanii na Prodyzuza nyota nchini Nas B amekarabati studio yake na kutoa punguzo kwa wanamuziki wachanga. Akiongea na vyombo vya habari mbalimbali Nas B ambae studio yake ipo Magomeni Mapipa alisema kuwa ameamua kuwainua wasanii wachanga ili nao waweze kufikia malengo na wasanii wote wachanga wakiwemo wa kwaya ambao wapo tayari wapige namba 0714-595432.

KHA JAMANI NUHU MZIWANDA ASHINDWA KUANDIKA KIINGEREZA CHA NURSERY SCHOOL, MASHABIKI WASEMA TATIZO UJANJA MWINGI KUMBE HAKWENDA SHULE ASHAURIWA AENDE ENGLISH COURSE...!


Sasa ndugu yangu NUHU umezidishaaa khah...Tutamwambia Shishi aache kukupiga TUKUPIGE SISI maana unatuvurugaaaa kwakweli halafu HUKOMI,unaangusha 1 baada ya lingine kudaadeki... Ipo siku utaumwa Kichwa halafu utaandika "Iam going to table the tablets of head pain" (Naenda kumeza dawa za maumivu ya kichwa) WALLAH TUTAKUPIGA! Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

Thursday, March 19, 2015

SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AZIDI KUITINGISHA NCHI YA KONGO, MAAJABU YAKE YAMSHTUA RAIS KABILA...!





 



Mwandishi Wetu- Bukavu Kijana wa Kitanzania aitwae Shekh Sharif Khamis ambaye kwa sasa yupo nchini Kongo ameendelea kufanya maajabu ya kutisha kiasi cha kushangaza dunia. Shekh Sharif Khamis ambae historia yake alianza kuongea akiwa na umri wa mwka mmoja ambae pia ni mzaliwa wa Mkoani Dodoma Wilaya ya Kondoa na amekuwa akizunguzuka dunia kwa mialiko mbalimbali lakini kwa sasa yupo nchini Kongo kwa muda ambako huko amekuwa akiendelea na dua kiasi cha kuitwa na waasi ili awaombee amani ya nchi hiyo ipatikane. Maajabu ya kijana huyo yamepelekea hata rais Joseph Kabila kupata taarifa za kijana huyo na kumpongeza kwa juhudi zake za kuleta amani nchini humo pia na kuhimiza wananchi kuwa karibu na mungu.
NCHI YA KONGO YAMVULIA KOFIA SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA, RASI JOSEPH KABILA AMPONGEZA RAIS KIKWETE...! Posted by maskani bongo at 11:23 PM SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AMBAE KWA SASA YUKO NCHINI KONGO KWA AJILI YA DUA MAELFU YA WANANCHI NCHINI KONGO WAKIMSIKILIZA SHEKH SHARIF HAYUPO PICHANI MWENYEJI WA SHEKH SHARIF NCHINI KONGO AKIWA TAYARI KUMKJARIBISHA KIJANA HUYO MTENDA MAAJABU SHEKH SHARIF AKIWA KWENYE HISIA ZA KUOMBA DUA MBALIMBALI ILI WANANCHI WAPATE UPONYAJI Na Mwandishi Wetu- Bukavu Kijana wa Kitanzania aitwae Shekh Sharif Khamis ambaye kwa sasa yupo nchini Kongo ameendelea kufanya maajabu ya kutisha kiasi cha kushangaza dunia. Shekh Sharif Khamis ambae historia yake alianza kuongea akiwa na umri wa mwka mmoja ambae pia ni mzaliwa wa Mkoani Dodoma Wilaya ya Kondoa na amekuwa akizunguzuka dunia kwa mialiko mbalimbali lakini kwa sasa yupo nchini Kongo kwa muda ambako huko amekuwa akiendelea na dua kiasi cha kuitwa na waasi ili awaombee amani ya nchi hiyo ipatikane. Maajabu ya kijana huyo yamepelekea hata rais Joseph Kabila kupata taarifa za kijana huyo na kumpongeza kwa juhudi zake za kuleta amani nchini humo pia na kuhimiza wananchi kuwa karibu na mungu. Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt
NCHI YA KONGO YAMVULIA KOFIA SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA, RASI JOSEPH KABILA AMPONGEZA RAIS KIKWETE...! Posted by maskani bongo at 11:23 PM SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AMBAE KWA SASA YUKO NCHINI KONGO KWA AJILI YA DUA MAELFU YA WANANCHI NCHINI KONGO WAKIMSIKILIZA SHEKH SHARIF HAYUPO PICHANI MWENYEJI WA SHEKH SHARIF NCHINI KONGO AKIWA TAYARI KUMKJARIBISHA KIJANA HUYO MTENDA MAAJABU SHEKH SHARIF AKIWA KWENYE HISIA ZA KUOMBA DUA MBALIMBALI ILI WANANCHI WAPATE UPONYAJI Na Mwandishi Wetu- Bukavu Kijana wa Kitanzania aitwae Shekh Sharif Khamis ambaye kwa sasa yupo nchini Kongo ameendelea kufanya maajabu ya kutisha kiasi cha kushangaza dunia. Shekh Sharif Khamis ambae historia yake alianza kuongea akiwa na umri wa mwka mmoja ambae pia ni mzaliwa wa Mkoani Dodoma Wilaya ya Kondoa na amekuwa akizunguzuka dunia kwa mialiko mbalimbali lakini kwa sasa yupo nchini Kongo kwa muda ambako huko amekuwa akiendelea na dua kiasi cha kuitwa na waasi ili awaombee amani ya nchi hiyo ipatikane. Maajabu ya kijana huyo yamepelekea hata rais Joseph Kabila kupata taarifa za kijana huyo na kumpongeza kwa juhudi zake za kuleta amani nchini humo pia na kuhimiza wananchi kuwa karibu na mungu. Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt

Friday, March 6, 2015

ANGALIA JINSI MGANGA WA MASTAA ALIVYOFUNIKA NCHINI UTURUKI, AREJEA NA SIRI NZITO MOYONI KUHUSU WAGANGA MAKANJANJA WANAVYOHARIBU FANI HIYO...!





 Na Mwandishi Wetu Mganga maarufu wa mastaa Tanzania ambae ameiletea sifa nyingi nchi yetu Dokta Kamdege ambae hutumia miti shamba kuagua mnaradhi mbalimbali pamoja na kumfanikishia mtu mambo yake hatimae amerejea nchini toka nchi ya Uturuki alikokuwa na ziara ya kikazi toka Disemba mwaka jana. Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari mganga huyo alisema kuwa ziara yake nchini humo ilikuwa ya mafanikio makubwa kutokana na miti shamba zake kukubarika sana kiasi cha kuwaacha watu midomo wazi baada ya kutibu magonjwa mbalimbali. Mganga huyo aliongeza kusema akiwa nchini humo alikutana na wataalam wa nchi hizo na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu tiba za miti shamba nchini Tanzania na mambo mengine. Hata hivyo mganga huyo ambae yeye hutibu mtu kwa kutumia miti shamba tu na sivinginevyo kama wafanyavyo waganga makanjanja wanaoharibub sifa za fani hiyo yenye heshima kubwa ndani ya jamii. Kamdege ambae mastaa mbalimbali wamekuwa wakimtumia kunyoosha mambo yao wakiwemo viongozi wa Serikali baadhi ambao kwa kiasi kikubwa amewasaidia hadi wengine kupata uwongozi na amekuwa akitumia miti shamba tu na si hayo tu hata kupandishwa cheo, kupata mke au mume kuwa na mafanikio, kutibu ganzi za miguuni na mikononi. Aidha Kamdege amesikitishwa sana na baadhi ya waganga kuhusishwa na mauaji ya viungo vya Albino na kuishauri Serikali kufanya msako mkali wa kuwakamata waganga wote ambao hawajasajiliwa kwenye chama chao cha waganga wa tiba Tanzania na kuwachukulia hatua kali. Mganga huyo ametoa uwito kwa wakazi wa jiji la Dar kumtafuta kupitia namba zake za simu 0763-146231 au 0788-44490 namba hizo zilikuwa hazipatikana muda mrefu lakini kwa sasa anapatikana na yupo Dar kwa muda na baadae ataendelea na ziara yake nchi ya Misri.
Na Mwandishi Wetu Mganga maarufu wa mastaa Tanzania ambae ameiletea sifa nyingi nchi yetu Dokta Kamdege ambae hutumia miti shamba kuagua mnaradhi mbalimbali pamoja na kumfanikishia mtu mambo yake hatimae amerejea nchini toka nchi ya Uturuki alikokuwa na ziara ya kikazi toka Disemba mwaka jana. Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari mganga huyo alisema kuwa ziara yake nchini humo ilikuwa ya mafanikio makubwa kutokana na miti shamba zake kukubarika sana kiasi cha kuwaacha watu midomo wazi baada ya kutibu magonjwa mbalimbali. Mganga huyo aliongeza kusema akiwa nchini humo alikutana na wataalam wa nchi hizo na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu tiba za miti shamba nchini Tanzania na mambo mengine. Hata hivyo mganga huyo ambae yeye hutibu mtu kwa kutumia miti shamba tu na sivinginevyo kama wafanyavyo waganga makanjanja wanaoharibub sifa za fani hiyo yenye heshima kubwa ndani ya jamii. Kamdege ambae mastaa mbalimbali wamekuwa wakimtumia kunyoosha mambo yao wakiwemo viongozi wa Serikali baadhi ambao kwa kiasi kikubwa amewasaidia hadi wengine kupata uwongozi na amekuwa akitumia miti shamba tu na si hayo tu hata kupandishwa cheo, kupata mke au mume kuwa na mafanikio, kutibu ganzi za miguuni na mikononi. Aidha Kamdege amesikitishwa sana na baadhi ya waganga kuhusishwa na mauaji ya viungo vya Albino na kuishauri Serikali kufanya msako mkali wa kuwakamata waganga wote ambao hawajasajiliwa kwenye chama chao cha waganga wa tiba Tanzania na kuwachukulia hatua kali. Mganga huyo ametoa uwito kwa wakazi wa jiji la Dar kumtafuta kupitia namba zake za simu 0763-146231 au 0788-44490 namba hizo zilikuwa hazipatikana muda mrefu lakini kwa sasa anapatikana na yupo Dar kwa muda na baadae ataendelea na ziara yake nchi ya Misri. Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
ANGALIA JINSI MGANGA WA MASTAA ALIVYOFUNIKA NCHINI UTURUKI, AREJEA NA SIRI NZITO MOYONI KUHUSU WAGANGA MAKANJANJA WANAVYOHARIBU FANI HIYO...! Posted by maskani bongo at 9:37 AM Na Mwandishi Wetu Mganga maarufu wa mastaa Tanzania ambae ameiletea sifa nyingi nchi yetu Dokta Kamdege ambae hutumia miti shamba kuagua mnaradhi mbalimbali pamoja na kumfanikishia mtu mambo yake hatimae amerejea nchini toka nchi ya Uturuki alikokuwa na ziara ya kikazi toka Disemba mwaka jana. Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari mganga huyo alisema kuwa ziara yake nchini humo ilikuwa ya mafanikio makubwa kutokana na miti shamba zake kukubarika sana kiasi cha kuwaacha watu midomo wazi baada ya kutibu magonjwa mbalimbali. Mganga huyo aliongeza kusema akiwa nchini humo alikutana na wataalam wa nchi hizo na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu tiba za miti shamba nchini Tanzania na mambo mengine. Hata hivyo mganga huyo ambae yeye hutibu mtu kwa kutumia miti shamba tu na sivinginevyo kama wafanyavyo waganga makanjanja wanaoharibub sifa za fani hiyo yenye heshima kubwa ndani ya jamii. Kamdege ambae mastaa mbalimbali wamekuwa wakimtumia kunyoosha mambo yao wakiwemo viongozi wa Serikali baadhi ambao kwa kiasi kikubwa amewasaidia hadi wengine kupata uwongozi na amekuwa akitumia miti shamba tu na si hayo tu hata kupandishwa cheo, kupata mke au mume kuwa na mafanikio, kutibu ganzi za miguuni na mikononi. Aidha Kamdege amesikitishwa sana na baadhi ya waganga kuhusishwa na mauaji ya viungo vya Albino na kuishauri Serikali kufanya msako mkali wa kuwakamata waganga wote ambao hawajasajiliwa kwenye chama chao cha waganga wa tiba Tanzania na kuwachukulia hatua kali. Mganga huyo ametoa uwito kwa wakazi wa jiji la Dar kumtafuta kupitia namba zake za simu 0763-146231 au 0788-44490 namba hizo zilikuwa hazipatikana muda mrefu lakini kwa sasa anapatikana na yupo Dar kwa muda na baadae ataendelea na ziara yake nchi ya Misri. Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Wednesday, March 4, 2015

UKAHABA WAMTIKISA MREMBO HUYU, PICHA ZA CCTV CAMERA ZAZIDI KUMUUMBUA, YADAIWA NI SHEMEJI NA MFANYABISHARA TEVES ALITEKWA AFRIKA KUSINI..!




Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kaiwaida tangu kuanikwa mitandaoni kwa picha za msichana aliyefahamika kwa jina moja la Zuu kuhusu kukutwa na kashfa mbalimbali za umafia anaowafanyia wanaume hatimae mambo hadharani.
Habari za uhakika toka kwa vyanzo mbalimbali vilivyopo karibu na dada huyo zilisema kuwa msichana huyo kwa sasa anaishi kama digidigi  kutokana na kutafutwa na Jeshi la Polisi nchini na la nchi za Uganga na Kenya kutokana na mambo aliyoyafanya nchini humo.
Vyanzo hivyo viliendelea kusema kuwa msichana amekuwa akijiuza kutumia mitandao ya kijamii pamoja na kutembelea kwenye mahotel makubwa kwa ajili ya kutafuta wanaume na tayari kuna ushahidi wa picha za CCTV Camera zilizomnasa msichana huyo akitoroka kwenye moja ya hotel moja iliyopo Sinza mara baada ya kumuibia mfanyabishara mmoja mara baada ya kumuwekea dawa za kulevya kwenye kinywaji.
Hata hivyo msichana huyo ambae kwa mujibu wa vyanzo hivyo vilisema kuwa nchini Kenya anatafutwa usiku na mchana na taarifa zake zimesambazwa kila Hotel kutokana na kuwawekea wanaume madawa ya kulevya  kwenye vinywaji.
Aidha msichana huyo ambae ni shemeji na mfanyabiashara aliyekutwa na majanga ya kufanyiwa unyama Teves, hata hivyo tahadhari kubwa imetolewa kwa wanaume wote Tanzania kumuangalia kwa umakini mrembo huyo ili asiweze kuleta madhara kwenye jamii kwani ndani ya mkoba wake hutembea na madawa ya kuwatilia wanaume kwenye vinywaji ili kuwazimisha.
Hata hivyo habari nyingine zinasema msichana huyo amecheza mkanda wa X na msanii mmoja maarufu Afrika Mashariki na kati huko nchini Kenya na mtandao huu unautafuta kwa udi na uvumba mkanda huo ili kuuanika hadharani.
Mtandao huu ulifanyajitahada za kumtafuta msichana huyo  ili kueleza tuhuma zinazomkabiri alijibu hivi “ Hata kama nashughurika na ukahaba nyie inawahusu nini? Nyie andikeni ili mnipe umaarufu hapa mjini na hata kama ntaenda jela nyie mnaumia nini mimi nina undugu na n nyie? Sipendi******* wenu” Alijibu Zuu

Monday, March 2, 2015

TAHADHARI KUBWA: MREMBO HUYU AHATARISHA NDOA ZA WAKAZI WA JIJI LA DAR!





 MTANDAO HUU UNAMALIZIA VIELELEZO VYA MWISHO KABIA YA KUANIKA UCHAFU WA KUTISHA ALIOUFANYA MWANADADA HUYU KIASI CHA KUHATARISHA NDOA ZA WATU. ISHU YAFIKA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KWA USHAHIDI. ENDELEA KUFATILIAA HABARI KWENYE MAGAZETI PENDWA NA MITANDAO YA KIJAMII ILI KUJUA ALICHOKIFANYA...!

Friday, February 13, 2015

HAKI YA NANI MASOGANGE AZIDI KUWA TISHIO NCHINI AFRIKA KUSINI, MAMILIONE WENGI WAMPANDIA DAU KUMLA URODA...!

ONA DEMO YA FILAMU MPYA YA MANAIKI SANGA ILIVYOSHENI MASTAA KIBAO KIASI CHA KUWACHANGANYA  MASHABIKI NA INATARAJIA KUTOKA MAPEMA MWEZI WA NANE