TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 6, 2015

KAMA WEWE NI SHABIKI WA HAWA WATU BAS ANGALIA TAARIFA NJEMA TOKA KWA BLACKEYED PEAS


The-Black-Eyed-Peas-Wallpaper-4

Moja kati ya makundi ya muziki ambayo yalitikisa ulimwengu wa tasnia hiyo kwneye miondoko ya Pop na Hip-Hop Blackeyed Peas limekuwa kimya kwa muda mrefu huku kazi ambazo zimekuwa zikisikika kutokana na watu wanaohusika na kundi hilo zikiwahusu kinara na Producer wa kundi Will-i-am na mwanadada Fergie.
Taarifa njema kwa wapenzi wa kundi hili ni kwamba kuna mpango wa kurudi kwa kundi hili baada ya kimya cha muda mrefu ambacho kilikuwa na maswali mengi huku wengi wakiamini kuwa kundi hilo limevunjika .
Kundi hilo limekuwa studio kwa muda mrefu sasa likirekodi albamu ambayo nit ole la pili la albamu ya mwaka 2010 iliyoitwa The Beginning na baada ya hapo kuna mpango wa kufanya Tour ya pamoja ambayo itakuwa kusherehekea kurdi upya kwa kundi hilo .
Kundi la The Blackeyed Peas linatarajia kurudi kwneye anga la muziki miezi michache ijayo.
Kundi la The Blackeyed Peas linatarajia kurudi kwneye anga la muziki miezi michache ijayo.
Lengo la kurudi upya kwa Blackeyed peas ni kusherehekea miaka 20 ya kundi hilo ambayo inatimia mwaka huu na taarifa zilizothibitishwa na Will-I-Am ambaye ni kiongozi wa kundi zimedai hivyo.
Will-I-Am ambaye miezi michache iliyopita alikanusha taarifa za blackeyed peas kurudi upya alisema kuwa kundi hilo limekuwa studio kwa zaidi ya miezi miwili na kila mmoja kati ya wanakundi amekuwa na furaha huku kukiwa na msisimko mkubwa kuelekea hatua inayofuata .
Kundi hilo linatengeneza Albamu mpya na pia litafanya ziara ya kuadhimisha miaka 20 ya kundi hilo.
Kundi hilo linatengeneza Albamu mpya na pia litafanya ziara ya kuadhimisha miaka 20 ya kundi hilo.

Monday, January 5, 2015

ANGALIA JAY Z NA BEYONCE WALIVYOINGIA KWENYE HEKARU LA KIFREMANSONI HUKO THAILAND...!


Jigga
Jay Z na Beyonce wameendelea ‘kula bata’ ikiwa ni mwendelezo wa kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Thailand.
Kila siku ndani ya mwezi December mwaka 2014 ilikuwa na story yao, huo ni mwezi ambao walikuwa wakijiachia kwa ajili ya mapumziko, tarehe 4 December walikuwa katika visiwa vyenye baridi zaidi duniani, Iceland wakienjoy birthday ya Jay Z, baada ya hapo tumesikia sana kuhusu uwepo wao Thailand ambako wamekaa kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Picha za mwisho zinawaonyesha wakitembelea maeneo ya Makumbusho, wanaonekana kufurahia wakati wote wa matembezi yao Thailand.
bey4
Juzi jumamosi wawili hao waliamua  kutembelea mapango ya kitalii ya kihistoria ya Cambodia yaliyopo nchini humo.
bey2
bey1
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza. CREDIT: MASKANIBONGOTZ

Sunday, January 4, 2015

FILAMU YA EXPENDABLES YA KITANZANIA YAMKUNA MSANII JB AMPONGEZA MANAIKI SANGA KWA HATUA NZURI, DSTV SWAHILI MOVIE KUINUNUA KWA DAU NONO..!

FILAMU MPYA YA KITANZANIA AMBAYO IMEWASHIRIKISHA WASANII ZAIDI YA 36 WA KITANZANIA AMBAO NI MASTAA. MSANII JAKOB STEVEN JB AMEMPONGEZA SANA MANAIKI SANGA KWA KUANDAA FILAMU HIYO INAYOFANANISHWA NA ILE YA EXPENDABLES.
MUANDAAJI WA FILAMU HIYO LAMATA AMESEMA KUWA HII NI HISTORIA KATIKA NCHI YETU NA TANGU SANAA HII YA FILAMU IANZE KUINGIA NCHINI MIAKA 15 ILIYOPITA NA YEYE KAMA MUONGOZI WA FILAMU HIYO ANAJISIKIA FARAJA SANA KUSIMAMIA FILAMU KUBWA KAMA HIYO.

AIBU NENE: MWANAMKE AJITOA UFAHAMU NA KUVUA NGUO KISHA KUTEMBEA BARABARANI, WANANCHI WAMSHUSHIA KICHAPO ILI KUMUOKOA..!

Mwanamke huyu ambae hakufahamika jina lake huko Mkoani Kigoma akama anavyoonekana akisidiwa na wananchi asiendelee kuvua nguo ya ndani, na kuna taarifa kama alikuwa amelewa pombe aina ya chang'aa. Credit: Maskanibongotz

TOBA! KUMBE SIO MJINI TU HATA KIJIJINI HAYA MAMBO YAPO. MTOTO WA MWENYEKITI WA KIJIJI APIGA PICHA UCHI KWENYE MTO WA MAJI..!

Mtoto wa Mwenyekiti wa Kijini kimoja huko Mkoani Dodoma akiwa mtupu bila kujali watoto wadogo. Credit Maskanibongotz

Friday, January 2, 2015

DUH, IRENE UWOYA NA HEMED SULEIMAN CHUPUCHUPU KUTWANGANA KWELI WAKIREKODI FILAMU YA EXPENDABLES YA KITANZANIA YENYE MASTAA ZAIDI YA 30...ANGALIA SABABU KUBWA NI...!


 Picha hii ni ya wasanii Hemed na Jackline Uwoya ambapo ilidaiwa hapa Uwoya akiwa amekasirika baada ya Hemed kumsemea shiti wakirekodi filamu ya WAKE UP ya msanii Manaiki Sanga


Na Sabina Ramadhani
Filamu mpya inayofananishwa na ile ya Expendables ya nje ya nchi lakini sasa hii ya kitanzania imepewa jina la WAKE UP wakati wa kuigizwa kwake ilikumbana na majanga makubwa kufuatia mastaa wake kurumbana na hata kununiana huku wakirekodi filamu hiyo ya msanii Manaiki Sanga.
Muongozaji wa filamu hiyo Leah Richard Mwendamseke “Lamata” alisema kuwa filamu hiyo ilikuwa na majanga makubwa sana hadi kuja kumalikia kufuatia mastaa wengi kuleteana ubabe wakati wakiigiza.
Lamata aliendele kusema kuwa uigizaji wa filamu hiyo hadi kukamilika umechukua miezi sita huku wakipambana majanga makubwa" Kaka haikuwa rahisi kuwaweka mastaa wote hao zaidi ya 30 pamoja kwa miezi sita ilikuwa shughuri sana na ilipelekea wakati nilikuwa nafaunga na kusali ili nimalize filamu ya watu" Alisema dada huyo 
Hata katika tukio la wazi ni lile ya msanii Hemed kutaka kumpiga makosi ya kweli msanii Irene Uwoya wakati wakiigiza sini yao na kupelekea kusimama kwa muda kupisha ugomvi huo kwa wasingeweza kuendelea kurekodi wakati hawako kwenye mudi nzuri,
Filamu hiyo ambayo kwa sasa ipo hatua za mwisho kumalika huku makampuni makubwa ya usambazaji yakipigana vikumbo kupanda dau wasanii baadhi waliogiza ni Irene Uwoya, Jackline Wolper, Gabo,  Othuman Amri “King Majuto” Kajala, Yusuph Mlela, Tausi, Aisha Boko, Hemed Suleiman, Quickrocker, Kupa,Duma, Mama Abdul, Flora Mvungi, kwa upande wa wanaumziki ni Country Boy, Nas B akiwemo mwenyewe Manaiki Sanga ambae ndiye staa wa filamu hiyo.

BAADA YA KUTEMBELEA JUMBA LA MAKUMBUSHO YA MAUJI YA KIMBALI, ZARI NA DIAMOND KUREKODI WIMBO WA KUHIMIZA AMANI AFRIKA...!