TANGAZO MAALUM
.
TANGAZA NA SISI
Thursday, October 23, 2014
Saturday, October 18, 2014
MAHAKAMA YAMPIGA STOP DAVIDO KUFANYA ONESHO LA FIESTA YA LEO. MASHABIKI WASEMA PRIME PROMOTION NA CLOUDS FM VIPOTEZA SIFA
Hii ndiyo taarifa ya Mahakama iliyotolewa jana ya kumzuia Davido kutofanya onesho lolote la Prime Promotion kwani tayari alikuwa keshaingia mkataba na kituo cha Radio Times mkataba wa kufanya onesho hilo
Mwanamuziki Davido akishangaa mara baada ya kupokea taarifa za kuzuiwa kufanya onesho lake kwenye jukwaa la Fiesta leo hii Jumamosi kwenye viwanja vya Leaders Club.
Hivi ndivyo maandalizi ya jukwaa la Fiesta lilivyokuwa linaendelea na sijui hadi sasa hali ikoje.
Na Sakina Shabani
Kweli waliosema mwisho wa ubaya ni aibu waliona mbali sana hivyo ndiyo kituo cha Clouds Fm Radio & Prime Prodution walivyoanza kujishushia hadhi walijijengea miaka mingi nchini baada ya kumrubuni msanii toka Nigeria Davido kuja kufanya shoo kwenye onesho la Fiesta wakati tayari alishaanza kusikika kwenye kituo cha radio Times Fm 100.5 kwa jingo kama atakuwepo Tanzania Nove 1. 2014.
Katika sakata hilo mashabiki wa kituo hicho cha Clouds Fm wameongea mengi na kutoa ushauri kwa viongozi wa kituo hicho, ambapo Jackline Mushi mkazi wa Ukonga Jijini Dar alikuwa na haya ya kusema " Kiukweli Clouds kwa hili wamejidhalilisha walishindwa kuandaa msanii wao hadi wamdandie msanii ambae tayari ameshaingia mkataba na kituo kingine hadi Mahakama inaiingilia kati hii ni aibu kwa kampuni kama hiyo yenye uwezo mkubwa sana" Alisema msichana huyo
Aidha nae Edwini Chiwanga ambae ni Polisi Kilwa Road alikuwa alisema" Kweli mwisho wa ubaya ni aibu Clouds iliheshimika sana miaka mingi lakini kwa uletaji wasanii lakini naona sasa imeshaanza kupoteza sifa Mungu amewaumbua" Alisema
Maoni yalikuwa mengi sana lakini hata hivyo na wako ambao waliomba hifadhi ya majina yao walisema kuwa kituo hicho cha Clouds sasa kinatakiwa kukubali chalenji kwenye uandaji matamasha Times ni kampuni ya kitanzania tena na Clouds pia hivyo ni vyema kushirikiana kwenye masuala hayo ya burudani ili kuleta sifa njema kwa nchi yetu kuliko kutaka kukomoana na mwisho ni aibu kama hizi Mahakama sasa imetoa amri hiyo na sijui itakuaje.

Thursday, October 16, 2014
DOKTA KAMDEGE ATUMA MITI SHAMBA ZAKE KUTIBU EBORA, KAMA ITAFANIKIWA KUTIBU ITAKUWA BASI TENA...!
Mtu aliyeathirika na maradhi ya ugonjwa wa Ebora

Dokta Kamdege akiwa kazini na vifaa vyake

Mganga maarufu wa kienyeji nchini ambae hutumia miti shamba kutibu binadamu amepeleka dawa zake kwenye mbalibali zilizoathirika na ugonjwa EBOLA kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya kutibu ugonjwa huo unasumbu Dunia kwa sasa.
Akiongea na vyombo vya habari juzi Jumatatu toka Tabora mganga huyo alisema kuwa amelazimika kutuma dawa hizo kwa nchi hizo ili kwa ajili ya kuwasaidia binadamu hao waliathirika na ugonjwa huo.
Hata hivyo Dokta kamdege aliongeza kusema kuwa anaziamini dawa zake za miti shamba kwani hazijawahi kushindwa kutibu kitu kwake hivyo ana imani kuwa zitafaa.
Dokata Kamdege ambae amekuwa akiwasaidia watanzania wengi na watu toka mabara mbalimbali duniani kwa kuwapatia dawa zake na kupona matatizo yao ikiwemo kupungukiwa nguvu za kiume, kupata mtoto, kupunguza makali ya UKIMWI pamoja matatizo mengine ya kichawi.
Aidha mganga huyo aliongeza kusema anawaomba watanzania waendelee kufika kwake kwa ajili ya kunusuru ndoa zao, kushughurikia mambo yao ya kikazi, kibiashara na nk.
na simu yake ni 0763-146231 na wataongea nae moja kwa moja.
MZEE MAJUTO ASAKWA KWA TUHUMA ZA UTAPELI, ATAKIWA KUKAMATWA NA KURUDISHWA DODOMA KUJIBU TUHUMA, ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAEFANIKISHA KUKAMTWA KWAKE..!
MISS TEMEKE MANAIKI SANGA WANASWA WAKIPAPASANA NYETI UFUKWENI. MREMBO HUYO AZIDIWA NA MAHABA...!
Irine Kanka Miss Temeke akiwa na Manaiki Sanga, ambapo mrembo huyo akionekana kuzidiwa baada ya kupapaswa nyeti zake kwa muda mrefu
Picha hii kuna kitu kinaendelea jamani Irene akiwa hoi

Miss Temeke siku alipojitoa ufahamu ma kupiga picha za uchi na mpenzi wake Manaiki Sanga kipindi cha nyuma
Hapa akiwa na Manaiki Sanga
Na Mwandishi Maalum
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwa mrembo aliywahiwahi kuchukuliwa kama mtu mwenye heshima kubwa nchini lakini baadae alikuja kuchafuka baada ya kujitoa ufahamu kwa kutupia picha uchi akiwa na Manaiki Sanga ambae ni bwanaake wa muda mrefu.
Hata hivyo licha ya mrembo huyo kujitokeza na kukanusha kama hakuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Manaiki Sanga, licha ya picha kuongea hivi karibuni picha mpya zimvuja zikimuonesha akiwa na Manaiki tena ufukweni wakichezeana nyeti hadi kuzidiwa kabisa na mahaba.
Picha hizo kama zinavyoonekana Irene akishikwa shikwa nyeti na Manaiki huku paparazi wetu aliyewavizia akiwafyatua picha bila wao kujijua.
Mtandao huu ulifanya jitihada za kumtafuta mrembo huyo ili azungumzie lakini hakuweza kupokea simu huku Manaiki nae akikata simu kila ilipopigwa hadi habari hii inaruka hewani.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

Subscribe to:
Posts (Atom)