Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mganga maarufu wa viongozi na mastaa nchini Dokta Kamdege ameitwa nchini Afrika Kusini na kampuni ya Forjoys Art Production kwa lengo la kuwasaidia watu wa huko.
Akiongea na mtandao huu Dokta huyo alisema kuwa baada ya kutoka Burundi alikokuwa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa huko na kuwatatulia matatizo yao sasa amerejea Tanzania lakini hatokuwa na muda mrefu ataondoka kuelekea kule.
Dokata Kamdege amekuwa tegemea kubwa sana kwa watanzania mbalimbali Duniani kwa kuwafanikishia mambo yao kwa kuwaondolea nuksi, kuwang'alisha mambo yao na kuwa na mafanikio makubwa huku amekuwa msaada kwa viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na mastaa wa muziki na filamu.
Mganga huyo anatibu kutumia miti shamba tu wala si vinginevyo kama wafanyavyo wataalam wengine na ataibu ganzi ya miguuni na mikononi anaweka sawa mambo ya kupandishwa vyeo kazini na kuzuia wabaya wasikukaribie na kukuza biashara yako kwa kupata pesa nyingi.
Hata hivyo Dokata huyo amesema kuwa kipindi bado yupo hapa nchini watanzania waendelee kumtumikia ili awasaidie matatizo yao na namba yake inapatikana hewani masaa 24 ambayo ni 0788-844490.
Hata hivyo nae mlatibu wa safari hiyo nchini Afrika Kusini mtangazaji wa radio Sauti ya Afrika Bw Fortunatus Kasomfi amesema watanzania waishio nchini huwa wanaweza kutumia nafasi hiyo kwa kuweka sawa mambo yo na maganga huyo atapatikana kwenye simu namba+27786580747 na kuanzia tarehe 15 MAY ndipo mganga huyo atakuwepo nchini humo.
TANGAZO MAALUM
.
TANGAZA NA SISI
Monday, April 28, 2014
MSANII JACKLINE WOLPER AMPIKU MASONGANGE KWA MDOSI WA KIHINDI NI YULE ALIYETOA MIL: 40 KWA AJILI YA KUMCHUMBIA MASOGANGE, PICHA ZAO ZAZUSHA MJADALA MKUBWA..!
Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange
Agness Masogange ambae aliwahi kutolewa barua ya uchumba na Muhindi huyo mapema mwaka huu, hata hivyo haikufahamika mambo hayo yaliishia wapi.
Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange hapa nyota huyo akionekana akiwa amelewa uso unamajibu kwani hilo sio pozi la kawaida la mdomo kuubetua kiasi hicho.
Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Xdeejayz imenasa picha za msanii nyota wa filamu za Kibongo Jackline Wolper akiwa na mfanyabishara mmoja wa kihindi mwenye pesa ndefu aliyefahamika kwa jina la Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange.
Picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa kwenye moja ya viunga vya Club ya usiku iliyopo Oysterbay/ Masaki ambapo hata hivyo uhalisia wa picha hizo unamuonesha Wolper akiwa bwii kiasi cha kuubetua mdomo wake ambapo sio kawaida kwa mtu mwenye ufahamu na staa kama yeye kupiga picha zenye pozi baya kama hizi.
Prence Kass ambae aliwahi kumchumbia Agness Masogange hadi kwa mjombaake na msichana huyo anawafunika mastaa wote bongo kwa makalip yake tata na kila kitu kilikuwa kinaenda swa kuhusu suala la kumuoa kwani Prence alishamtengea zaidi ya milioni 40 ili kumuachisha na mambo ya sanaa ili amfungulie maduka.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
Agness Masogange ambae aliwahi kutolewa barua ya uchumba na Muhindi huyo mapema mwaka huu, hata hivyo haikufahamika mambo hayo yaliishia wapi.
Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Xdeejayz imenasa picha za msanii nyota wa filamu za Kibongo Jackline Wolper akiwa na mfanyabishara mmoja wa kihindi mwenye pesa ndefu aliyefahamika kwa jina la Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange.
Picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa kwenye moja ya viunga vya Club ya usiku iliyopo Oysterbay/ Masaki ambapo hata hivyo uhalisia wa picha hizo unamuonesha Wolper akiwa bwii kiasi cha kuubetua mdomo wake ambapo sio kawaida kwa mtu mwenye ufahamu na staa kama yeye kupiga picha zenye pozi baya kama hizi.
Prence Kass ambae aliwahi kumchumbia Agness Masogange hadi kwa mjombaake na msichana huyo anawafunika mastaa wote bongo kwa makalip yake tata na kila kitu kilikuwa kinaenda swa kuhusu suala la kumuoa kwani Prence alishamtengea zaidi ya milioni 40 ili kumuachisha na mambo ya sanaa ili amfungulie maduka.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
MAKOMNDOO WA TANZANIA WAMTIA HOFU RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME MARAIS WENGINE NAO WAONDOKA NA YAO MOYONI WANANCHI WAPONGEZA UIMARA WA JWTZ..!
![]() | |
| Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono. |
![]() |
| Kikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano. |
![]() |
| Kikosi cha Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano. |
93.7 YAZIDI KUWA TISHIO JIJINI MAMILIONI YA WATU SASA WANASIKILIZA RADIO HIYO UZINDUZI WAKE HAIJAWAHI TOKEA JOSE CHAMILIONE MMOJA WA WASANII WANAOTAJWA KUJA KUSHIRIKI..!
Na Livingstone Mkoi
Bila ubishi kwa sasa mamilioni ya watanzania waishio Jijini Dar, Pwani na Morogoro wanasikiliza radio hii mpya inayopatikana kwenye masafa ya 93.7 Fm.
Kwa mujibu wa uchunguzi ulifanyw na Xdeejayz mebaini kuwa watu wengi sana wanaisikiliza radio hiyo mpya burudani ambayo hadi sasa jina lake bado utata kutokana na mmiliki wake kugoma kuitaja kwa madai kuwa bado mapema.
Daladala zote hapa zimetyuni 93.7, majumban, kwenye masaloon na maofisni watu wote habari ni moja tu 93.7 Fm ambayo burudani wanayoitoa humo ni balaa.
Radio hiyo ambayo inasadikika ni kigogo mmoja wa Serikali ambae ameshirikiana na mwanamuziki maarufu wa kike jina linahifadhiwa.

Saturday, April 26, 2014
SMIRNOFF BLACK SWAGGER PARTY..... @New Maisha Club Dar
New Maisha Club Garden Bar.....
Smirnoff Black swagger Party.... Nomaa sanaaa
Waaoooooooo!!!! Thanks To Smirnoff.
Smirnoff Models, they Look Hot.
Dj Tass na Dj Ziro
Hapo sema Mwenyewe.... Ni Tarehe ya 25/04/2014.
Friday, April 25, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)