TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, December 24, 2013

DOWLOAD SIKILIZA 'PENDO' BY Y TONY


Chris Brown aingia kwenye headlines nzuri za Christmas.

 

sds
Chris Brown sio mtu wa matukio mabaya tu wakati mwingine ana-make headlines na vitu vizuri.
Muimbaji wa wimbo wa “This Christmas” ametumia muda wake kuwapa watoto zawadi za Christmas ikiwemo toys na vitu vingine.
Kwa mara ya kwanza C brown amefanya annual holiday toy drive kwenye projects za Brooklyn ikiwa ni njia moja wapo ya kuwakumbuka watoto hasa kipindi hiki cha sikukuu.
“Thank you to all the fans who brought gifts for the kids today. Have a wonderful holiday. You’ve made a merry Christmas for a young child!” Chris Brown alisema hivyo akiwashukuru watu walioleta toys kuungana naye kuwapa zawadi watoto.
Kelvin Hart na Tyga walikuwepo kwenye tukio hili kumpa support Chris Brown.bb
cb-toy-drive-1
cb-toy-drive-2
cb-toy-drive-6

Monday, December 23, 2013

SNURA AMCHEKA NGASA - NI BAADA YA YANGA KUFUNGWA NA SIMBA

 










MSANII WA TIPTOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA AROBAINI ZA BANGI

 

Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga

YALIOJILI KWENYE UZINDUZI WA NEW MAIHSA CLUB MOROGORO

Wakazi wa Morogoro Alhamis iliyopita wamepata sehemu mpya ya kukutana na kujumuika pamoja upande wa kucheza na kufurahi,hii ni New Maisha Club Morogoro ambayo rasmi imezinduliwa December 19,hizi ni baadhi ya picha za uzinduzi huo.
moro3
moro17
moro20
moro15
moro18
moro11
moro10
moro9
moro8
moro4
moro3
moro23
moro24
moro25

moro28
moro35
moro33
moro32
moro31
moro29

Picha kwa hisani ya MILLARDAYO.COM

WIKI YA HISIA ZA BURUDANI KWA MIKOA MITANO NDANI YA CLUB MAISHA 5 HII HAIJAWAHI TOKEA..!!!

Na Sakina Shabani
Wiki hii itakuwa ya kukumbukwa ndani ya mikoa mitano yani Club Maisha Dar, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Ntwara.
Kikozi kazi cha Xdeejayz kinatarajia kufanya maajabu makubwa  kwa kuwapatia burudani mashabiki wao.
Akiongea na Xdeejayz meneja burudani wa Club Maisha Hemed Kavu "HK" Alisema wiki hii na ijayo itakuwa ni ya kukumbukwa sana kwa mashabiki wa Disko kutokana na kikosi cha Xdeejayz kujipanga vya kutosha kuwasherehesha mashabiki hao.
"Kwa RATIBA YA BURDANI CLUB MAISHA ZOTE FUATILIA KWENYE GAZETI LA MASKANI BONGO JUMATANO HII"