TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 30, 2014

MPOKI KUIHAMA BONGO NA KUHAMIA UJERUMANI NA FAMILIA YAKE ANGALIA HAPA..!


Mpoki akiwa na mashabiki wake waingereza ambao waliwahi kumuona kwenye Ze Comedy Tanzania
Mpoki na Devoltha Alfred
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Tanzania Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye alifanya ziara nchini ujerumani baada ya kualikwa na Umoja wa wa Watanzania Ujerumani (U T U) kwa ajili ya Sherehe za muungano wa Tanzania, zilizoambatana na kongamano la kibiashara pamoja na Mkutano mkuu wa uchaguzi wa U T U. Mchekeshaji huyo maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi aliweza kuburudisha waliohudhuria katika sherehe hizo kubwa na za aina yake katika jiji La Berlin Ujerumani.
Mpoki akiwa na mwenyekiti wa UTU
Kufuatia uchaguzi mkuu wa U T U. Bw. Mfundo Peter Mfundo amepata ushindi mkubwa wa % 98 na kuendelea kuwa Mwenyekiti wa U T U kwa kipindi kingine cha miaka 2. Nafasi ya makamo Mwenyekiti ilinyakuliwa na Bw. Peter Kazaura nafasi ya Katibu imechukuliwa na Bi. LiLian Sorogo, nafasi ya Muweka hazina imechukuliwa na Rajab Kaoneka. Wajumbe wa kamati ni. Zenat Jamal, Dr. Andreas Wesselmann, Julius Tsaxarra, Joyce Rupia, Vital kazimoto, na Fulgens Kisalya. Mutano huu wa Uchaguzi ulihudhuriwa na Mgeni Rasmi Mh. Naibu Balozi wa Tanzania nchini ujerumani Bw. Mvulla.
Mpoki akiwa na muigizaji na mtangazaji Devotha Alfred
Mwenyekiti wa U T U Bw Mfundo Peter amesema timu yake mpya inategemea kubadilisha sura nzima na mwenendo wa Umoja huu, ndani ya kipindi cha miezi 6 ya uongozi mpya. Chanzo cha habari kilinyetisha. Baada ya mkutano wa uchaguzi kumalizika mnamo saa 11:30 alasiri, Viongozi wa U T U na Wanachama walijumuika na watanzania wengine katika tafrija ya chakula cha jioni katika Hotel ya MARITIM HOTEL Berlin. ambayo iliandaliwa rasmi na Ubalozi wa Tanzania nchini ujerumani ili kuhitimisha sherehe za Muungano wa Tanzania katika Tafrija hiyo kubwa walihudhuria wageni mbali mbali, Diplomats, na burudani mbali mbali zilikuwepo zikiwemo ngoma za asili kutoka Tanzania na Vichekesho kutoka kwa Mchekeshaji MPOKI, pia kulikuwa na Muziki wa kunesanesa. Msanii wa Movie na mtayarishaji wa kipindi cha Beyond the Borders bi Devota Alfred aliweza kufanya mahojiano na wasanii pamoja na viongozi waliohudhuria sherehe hizi. naye mtangazaji wa Deutsche welle idhaa ya kiswahili Bw Sudi Mnete hakuwa mbali siku hii akirepoti kutoka katika eneo la tukio.

Mpoki na mwenyeji wakeCREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

SALAMA JABIR AONGOZA WATANGAZAJI WENZAKE KULA NDIZI KUPINGA VITENDO VYA KIBAGUZI ANGALIA HAPA..!



Screen Shot 2014-04-30 at 6.02.00 PMMtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.
Picha ya kina Salama imepigwa na Doreen Andrew 
Screen Shot 2014-04-30 at 5.12.47 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.50.14 PMCREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

HARAFU BADO MNASEMA DIAMOND ANAPESA KAZI IPO KWA MSANII RAY ASEMA UTAJIRI WAKE HAKUNA MSANII YEYOTE ANAEMFIKIA TANZANIA ANA BILION KAHDA BANK ZIMEPUMNZIKA..!

Ray
Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki  anayemfikia sema hapendi tu kujitangaza kama baadhi ya mastaa wenzake akidai ni ulimbukeni. "hakuna msanii anayenizidi uwezo kuanzia mali na hata fedha niko mbali sana mimi, hata gari ninalotembelea hakuna msanii aliyenalo kama ingekuwa ni mtu wa kujisifusifu na kutafuta sifa za kijinga jamii ingejua" alisema star huyo wa filamu za Oprah, Sobbing Sound, Hard Price na Handsome Wa Kijiji akizungumza na gazeti moja.
Ray vile vile aliamua kurusha kombora kwa wabaya wake wasiopenda maendeleo yake kwa kusema "wanaongea sana majungu,  fitina na vitu ambavyo havipo kuhusu mimi, mimi ni jembe, kwanini wasiangalie maisha yao? leo msanii unateta nae dakika hiyo hiyo anageuza maneno hayo kuwa majungu, acha nikae peke yangu nifanye issue zangu"
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

FEDHEHA KUBWA, BONGO MOVIE WAREKODI MKANDA NGONO, HIGHLIGHTS GAZETI LA MASKANI BONGO JUMATANO HII TAREHE 30,4, 2014 USIKOSE HABARI HII YA AIBU KUBWA..!










HABARI ZAIDI USIKOSE GAZETI LA MASKANI BONGO JUMTANO HII 

MR BLUE AFUNGUKA JINSI WEMA SEPETU, NAJMA JINSI WALIVYOMFILISI NA KUBA MASKANI...!



Nyota wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue akiwa kwenye pozi.

NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi kutokana na matumizi makubwa ya fedha alipotoka nao viwanja.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Mr. Blue, msanii aliyeanza kupata umaarufu akiwa bado kijana mdogo, alisema alilazimika kutumia fedha nyingi akiwa nao, kwani vinginevyo wangemuona hana pesa, kitu ambacho hakuwa tayari kuona kinatokea.
“Mademu wengi walikuwa wanapenda sana starehe, kila day (siku) wanataka twende kiwanja, ndiyo maana kama unakumbuka niliyumba kimuziki.

Wema Sepetu a.k.a 'Beautiful Onyinye'.
“Wanawake wengi niliotoka nao hawajulikani, ila kuna Wema na Najma, ilikuwa ukizama nao dukani lazima ufanye shopping (manunuzi) ya nguvu, kuanzia laki saba, nane na kuendelea ili wakuone unazo na mademu wengi wakisikia tu umepiga shoo, sms hazikauki kuomba uwatumie mawe (pesa),” alisema.
Kuhusu maisha yake ya sasa, Mr. Blue alisema yamebadilika sana, kwani hivi sasa ameoa mwanamke mwenye asili ya Kiarabu na amejaliwa kupata mtoto mmoja, hivyo ni baba wa familia ambaye pia anakaribia kumaliza mjengo wake siku si nyingi.

Mrembo Najma.
Hata hivyo alisema mkewe siyo maarufu, ana malengo na upendo kwani amekuwa akimuaga kila safari anayofanya na kwamba hata yeye anaporejea nyumbani, hupokelewa vizuri.
Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya Bongo

MAKALIO YA TRAFIC WA KENYA AMDATISHA RAIS UHURU KENYATTA NI PIA KESHA SABABISHA AJALI KIBAO BARABARANI KISHA MAKALIO YAKE..!


Mtu Mzima ni kama aamini anacho kiona....."Aisee huyu mleteni awe board guard wangu ...Life is Good.....

AFANDE SELE= RADIO MPYA IMEKUJA KUWAKOMBOA WANYONGE, ATOA UWITO KWA WASANII KUTUMIA FULSA HIYO KUFANYA KWELI..!

Na Livingstone Mkoi
Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya ameibuka na kusema kuwa ujio waradio mpya 93.7 Fm imekuja kuwakomboa wanyonge waliokuwa wametelekezwa kwa kuksa msaada.
Akiongea na Xdeejayz kwa njia ya simu mwanamuziki huyo ambae yuko Dar kwa sasa akiandaa kazi zake mpya alisema" Kaka naweza kusema ni kama baraka za Mungu tu kuanzishwa kwa radio hiyo wanyonge wamepata mkombozi kwani vijana wengi walishaanza kufanyakazi kwa sababu ya wanyonyaji wa kazi zao hivyo tunaamini 93.7 Fm ndiyo suluhisho letu wanamuziki" Alisema Afande Sele.

GAZETI LA MASKANI BONGO LEO JUMATANO TAREHE 30,4,2014, BONGO MOVIE WATENGENEZA MKANDA WA NGONO, NA MFANYABISHARA KARIAKOO ANASA TEGO LA NGONO..!




KAMATA KOPI YAKO LEO MTAANI

HUYU NDIYE MREMBO ALIYEWAI KUTOA MIMBA 2 ZA DIAMOND WA WEMA SEPETU, ANGALIA HAPA HIGHLIGHTS GAZETI LA MASKANI BONGO JUMTANO HII..!


HABARI ZAIDI USIKOSE KUKAMATA KOPI YAKO..!

Tuesday, April 29, 2014

AUNT EZEKIEL AELEZA JINSI MAREHEMU KANUMBA ALIVYOKUWA BALAA KWENYE MAPENZI ANGALIPA HAPA ALICHOSEMA MSANII HUYO..!

Habar na Xdeejayz Tanzania
Msanii Aunt Ezekiel ameibuka na kusema kuwa kipaji cha marehemu Kanumba si kwenye filamu peke yake bali alikuwa balaa hata kwenye mapenzi.
Akizungumza na mtandao mmoja wa nchini Kenya ambao ulitaka msanii huyo kuelezea baadhi ya picha zake na Marehemu ambazo zinaashiria kama walikuwa ni zaidi ya  kazi ambapo msanii huyo alisema" Unajua Marehemu Kanumba alikuwa na vipaji vingi sana hata kwenye mapenzi alikuwa balaa ingawa sikuwahi kutembea nae isipokuwa nilikuwa nakabiliwa na wakati mgumu kipindi nikiigiza nae kwenye sini za mapenzi cha moto nilikuwa nakiona" Alisema msanii huyo
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

WANAFUNZI DODOMA WALIOREKODI MOVE YA NGONO WAULA WAPATA TENDA NDEFU YUPO MANAIKI SANGA WATALIPWA DOLA ELF 50 KWA DVD MOJA YENYE MUDA WA SAA 1.30 ANGALIA TAARIFA HII YA KUSHTUA XDEEJAYZ LIVE..!

 MMOJA WA WANAFUNZI HUKO DODOMA AMBAE NAE AMETEULIWA KUSHIRIKI MOVIE HIYO
  HAWA NI WANAFUNZI AMBAO WAMEJICHUKILIA UMAARUFU MKUBWA KUTOKANA NA MOVIE YAO YA NGONO KUTAMBA SANA, HATA HIVYO KUTOKANA UJUZI WALIOUNESHA WAMETAKIWA KUTENGENEZA MAKANDA MZURI 



 ASNATI MSANGI AMBAE MAARUFU KAMA PACHA WA WEMA ANAE AMECHAGULIWA KUSHIRIKI KUTOKANA NA KIPANDE CHAKE CHA VIDEO KINACHOMUONESHA AKIFANYA MAPENZI NA MANAIKI SANGA NA ALIONESHA UWEZO MKUBWA SANA.

 HAPA THE BON MWENYEWE MTAALAM MANAIKI SANGA A,K,A FUSKA AKIWA MZIGONI.
MANAIKI NDANI YA HISIA KALI AMBAZO ZIMEWAVUTIA WAZUNGU HAO TOKA NCHINI UK
IRINE KANKA MISS TEMEKE AKIWA PICHA UCHI KABISA NAE AMEONESHA KIPAJI CHA HALI YA JUU CHA KUFANYA NGONO NA MANAIKI SANGA HIVYO AMECHAGULIWA..
MWANAFUNZI WA CHUO TOKA UGANDA AMBAE AMECHEZA PICHA NYINGI NA MANAIKI SANGA
  MANAIKI SANGA NA IRINE KANKA MISS TEMEKE  BAADA YA KUMALIZA KUFANYA NGONO KWENYE MOJA YA HOTEL KUBWA JIJINI DAR
 MANAIKI AKIWA NAO PAMOJA KWA MPIGO


Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna taarifa kuwa wale wanafunzi wote wa chuo waliocheza movie za ngono kienyeji sasa wametafutiwa dawa ambapo wazungu toka nchini Uingereza wametoa ofa kwao ya kufanya mkanda huo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na Xdeejayz Tanzania toka kwa raia mmoja wa Tanzania aishie nchini Uingereza ambae ni msanii wa Bongo movie alisema" Jamani wazungu wengi wanavutiwa sana na wachuo hao wanapiga picha uchi akiwe Manaiki Sanga ambae ni maarufu sana nchini huku kwa picha zake za uchi hivyo wanaovyoonekana wanavipaji vinafaa kuendelezwa" Alisema mtu huyo
Hata hviyo taarifa hiyo iliongeza kusema kuwa kama watakubari kufanya hivyo basi watalipwa dola elf 50 kwa mkanda mzima.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

SHILOLE ASEMA ALIINGIA CHOO CHA KIUME KWA MZUNGU WAKE SHOGA, ASEMA ALIJUA KAPATA BONGE LA BWANA KUMBE MMH ASIMULIA KITANDANI ILIVYOKUWA MMH AIBU TUPU..!










Na Mwandishi wa Xdeejayz Tanzania
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu nchini Zuwena maarufu kama Shilole ametoboa siri ya moyoni mwake kwa kusema kuwa kweli aliingia choo cha kiume kwa mzungu wake ambae ni bwabwa na anahemewa kisogoni.
Akizingumza na mtandao mmoja Jijini Dar Shilole alisema" Jamani msema ukweli mpenzi wa Mungu mwenzeni niliingia choo cha kiume kwa yule mzungu nilijua nimepa bonge la bwana kumbe mmh nae analiwa" Alisema msanii huyo kwa mbwembwe.
Aidha katika hali nyingine Shilole aliongeza kusema kuwa kabla hata kuingia nae chumbani alianza kushtushwa na mikogo yake ya kushtuka shtuka kama wafanyavyo wanawake pindi wagusapwa seheme za kutekenyeka hapo ndipo alipogubdua shughuri hamna.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

Monday, April 28, 2014

KAMPUNI YA FORJOYS ART PRODUCTION YA SOUTH AFRICA YAMUITA DK KAMDEGE NCHINI HUMO, WAZUNGU WAMSUBIRI KWA HAMU KUBWA..!

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mganga maarufu wa viongozi na mastaa nchini Dokta Kamdege ameitwa nchini Afrika Kusini na kampuni ya Forjoys Art Production kwa lengo la kuwasaidia watu wa huko.
Akiongea na mtandao huu Dokta huyo alisema kuwa baada ya kutoka Burundi alikokuwa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa huko na  kuwatatulia matatizo yao sasa amerejea Tanzania lakini hatokuwa na muda mrefu ataondoka kuelekea kule.
Dokata Kamdege amekuwa tegemea kubwa sana kwa watanzania mbalimbali Duniani kwa kuwafanikishia mambo yao kwa kuwaondolea nuksi, kuwang'alisha mambo yao na kuwa na mafanikio makubwa  huku amekuwa msaada kwa viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na mastaa wa muziki na filamu.
Mganga huyo anatibu kutumia miti shamba tu wala si vinginevyo kama wafanyavyo wataalam wengine na ataibu ganzi ya miguuni na mikononi anaweka sawa mambo ya kupandishwa vyeo kazini na kuzuia wabaya wasikukaribie na kukuza biashara yako kwa kupata pesa nyingi.
Hata hivyo Dokata huyo amesema kuwa kipindi bado yupo hapa nchini watanzania waendelee kumtumikia ili awasaidie  matatizo yao na namba yake inapatikana hewani masaa 24 ambayo ni 0788-844490.
Hata hivyo nae mlatibu wa safari hiyo nchini Afrika Kusini mtangazaji wa radio Sauti ya Afrika Bw Fortunatus Kasomfi amesema watanzania waishio nchini huwa wanaweza kutumia nafasi hiyo kwa kuweka sawa mambo yo na maganga huyo atapatikana kwenye simu namba+27786580747 na kuanzia tarehe 15 MAY ndipo mganga huyo atakuwepo nchini humo.

MSANII JACKLINE WOLPER AMPIKU MASONGANGE KWA MDOSI WA KIHINDI NI YULE ALIYETOA MIL: 40 KWA AJILI YA KUMCHUMBIA MASOGANGE, PICHA ZAO ZAZUSHA MJADALA MKUBWA..!

 Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange
  Agness  Masogange ambae aliwahi kutolewa barua ya uchumba na Muhindi huyo mapema mwaka huu, hata hivyo haikufahamika mambo hayo yaliishia wapi.

 Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange hapa nyota huyo akionekana akiwa amelewa uso unamajibu kwani hilo sio pozi la kawaida la mdomo kuubetua kiasi hicho.

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Xdeejayz imenasa picha za msanii nyota wa filamu za Kibongo Jackline Wolper akiwa na mfanyabishara mmoja wa kihindi mwenye pesa ndefu aliyefahamika kwa jina la Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange.
Picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa kwenye moja ya viunga vya Club ya usiku iliyopo Oysterbay/ Masaki ambapo hata hivyo uhalisia wa picha hizo unamuonesha Wolper akiwa bwii kiasi cha kuubetua mdomo wake ambapo sio kawaida kwa mtu mwenye ufahamu na staa kama yeye kupiga picha zenye pozi baya kama hizi.
Prence Kass ambae aliwahi kumchumbia Agness Masogange hadi kwa mjombaake na msichana huyo anawafunika mastaa wote bongo kwa makalip yake tata na kila kitu kilikuwa kinaenda swa kuhusu suala la kumuoa kwani Prence alishamtengea zaidi ya milioni 40 ili kumuachisha na mambo ya sanaa ili amfungulie maduka.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA