TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, February 26, 2014

MWANAMKE ANAEDHANIWA MCHAWI AINGIA KWENYE CHUMBA CHA MAMA MJAMZITO KIMIUJIZA AKIWA NA MCHELE MBICHI NA UGALI YADAIWA ANGEFANIKIWA KULISHWA TU ASUBHI KUSINGEKUCHA, DOKTA KAMDEGE AELEZA KILA KITU, POLISI WATUMIA RISASI ZA MOTO KUMUOKOA..!

Dokta maarufu nchin Kamdege ambae amekuwa akiwasaidia watanzania kwa kuwapatia dawa za kuwaona wachawi live pamoja na kuwapatia nyota za mafanikio kwa kutumia miti shamba tu.
 
Dada anaedhaniwa mchawi Irene Robart (27) 
 
Sakina Shabani na Saidi Ngauya
MATUKIO ya kishirikina yameendelea kutanda nchini baada ya mwanamke mmoja, Irene Robart (27) katika hali isiyotarajiwa, aliibuka ghafla chumbani kwa mama mjamzito Kinondoni Moscow jijini Dar es Salaam, akiwa ameshika sahani iliyokuwa na mchele mbichi pamoja na ugali, huku akiwa hajulikani alikoingilia.
"HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA KWENYE GAZETI LA MASKANI BONGO LEO MTAANI"

MMH SIRI ZAANZA KUVUJA, WOLPER AKILI MANAIKI SANGA ALIMPA MAMILIONI YA SHILINGI ILI APIGE NAE PICHA ZA....XDEEJAYZ INAKUPA


Na Sakina Shabani
Msanii nyota kwenye tasnia ya filamu za kibongo Jacqkline Wolper na Manaiki Sanga, anayejulikana kama The Don, wako katika bifu kubwa kisa kikiwa ni picha walizopiga pamoja.
Tukio hilo limechukua sura mpya kwenye mitandao ya kijamii baada ya wiki mbili zilizopita gazeti hili kuanika picha za mastaa kadhaa waliowahi kupiga picha zilizozua minong’ono mitaani, kutokana na tabia ya Manaiki kuaminika kuwa ni wanawake aliotembea nao.
Maskani Bongo liliandika juu ya Wema Sepetu kunasa kwenye mtandao wa ngono, huku likionesha picha yake kubwa akiwa na Manaiki Sanga wakiwa wamekumbatiana huku picha ndogo ndogo za wasanii wengine maarufu akiwemo Jackline Wolper nao zikiwaonyesha wakiwa na mcheza filamu huyo.
Baada ya habari hiyo kutoka, baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo walichukua kurasa za gazeti hilo na kuiweka mtandaoni na watu walipoanza kutoa maoni yao, Jack alimzungumzia Manaiki na kukanusha kuwahi kushiriki naye mapenzi.
Mjadala mkali ulizuka huku mashabiki wa wasanii hao wakisemana vikali ambapo Wolper aliomba kuelezea jinsi ilivyokuwa hadi akakutana na Manaiki, akasema “Duh yaani mimi nimekuwa mpenzi wa Manaiki tena? Huyu mshikaji alishaahidi kuwa kwa gharama yoyote atakuwa staa, hivyo akatoa mkwanja wake watu tukaula basi,” alisema Wolper.
"HABARI ZAIDI KAMATA GAZETI LAKO PENDWA NAMBA MOKO TANZANIA MASKANI BONGO LEO MTAANI"

RUSHWA YA NGONO INAUA MUZIKI WA INJILI ASEMA-MARY CHOLOBI..!


Na Sakina Shabani
Mwanamuziki chipukizi wa nyimbo za Injili nchini, Mary Michael Cholob (29) ametoboa siri kubwa inayowatafuna waimbaji wa nyimbo za Injili, kwamba ili watoke ni lazima washiriki rushwa ya ngono iliyokithiri
"HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO LEO"

HIVI NDIVYO MAUJI YA KIBAKA MZOEFU YALIVYOFANYIKA, ALIKUWA NA UWEZO WA KUKABA WATU KUMI PEKEYAKE NA HAKUNA WA KUMWAMBIA KITU. XDEEJAYZ LIVE!



Wananchi wa Kinondoni Moscow wakishangaa mwili wa kibaka aliyewasumbua miaka mingi.
'KWA HABARI ZAIDI JUU YA TUKIO HILI LA KUSIKITISHA TAFUTA GAZETI LAKO PENDWA LA MASKANI BONGO LEO MTAANI HADI IJUMAA LINAPATIKANA"

Monday, February 24, 2014

THE NIGHT OF GENTLEMEN'S AT NEW MAISHA CLUB DAR










Huu Ni Muonekano wa New Maisha Club Dar es salaam, Iliyopo Mtaa wa Haile seilase, Oysterbay, wakati kukiwa hakuna watu nahapo ni maandalizi yakawaida kabisa kwa matumizi ya Club kwa kila siku inayofunguliwa..

Ile Siku ya Kuonesha utanashati ni siku ya ijumaa hii ya mwisho wa mwezi ambayo itakuwa tarehe 28/02/2014. THE NIGHT OF GENTLEMEN'S.  Usikose.




Sunday, February 23, 2014

MOROGORO KWALIPUKA WANANCHI WAKIMBIZANA OVYO KWA HOFU, YADAIWA WATU KUTEKETEA KWA MOTO SOMA HII HAPA YA LEO TOKA MJI HUO KASORO BAHARI..!...!




 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund


 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
"HABARI ZAIDI USIKOSE GAZETI LA MASKANI BONGO JUMATANO"

KWA WALE WAROHO WA KULA KILA KEKI HAYA HAPO KAZI IPO..!!!

"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA SIKU YA JUMATANO USIKOSE"

MSICHANA WA KITANZANIA AISHIE INDONESIA APIGA PICHA ZA UTATA NA KUZIMWAGA MTANDAONI..!

Na Mwandishi Wetu
Msichana mmoja ambae inadaiwa ni mtanzania aishie nchini Indonesia wiki iliyopita alirusha hewani picha zake za mitego kiasi cha kuzusha minong'ono kwente jamii yaq kitanzania inayoiishi nchini humo.
Kwa mujibu wamtandao mmoja wa mtanzania aishie nchini humo aliyefahamika kwa jina la Zabron Michael ulisema kuwa msichana huyo ambae inahisiwa kama ni mtoto wa kigogo flani lakini yeye ni Daktari anaefanya kazi zake binafsi nchini humo na alitajwa kwa jina moja la Happynes.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI JUMATANI HII USIKOSE NAKALA YAKO"

WANAFUNZI WA KIKE WA CHUO KIKUU UINGEREZA WANASWA WAKILA DENDA, WASEMA NDIYO STAREHE WANAYOIPENDA KULIKO CHOCHOTE..!

 Maskani ya Mungu wee yani sijui kama tutapata viongozi waadilifu tena Duniani kwani matukio ya wanafunzi wa vyuo kufanya ujinga yanazidi kushamili kila kukicha.

"CLUB MAISHA DAR SASA INAZIDI KUBORESHA HUDUMA KWA WATEJA NA SASA FAMILIA MBALIMBALI ZINAKARIBISHWA SEHEMY YA GARDEN YA UKUMBI HUO AMBAKO VIJWAJI BARIDI, CHAKULA CHA KILA AINA PAMOJA NA NYAMA YA MBUZI AMBAYO INASADIKIKA PEKEE INAPATIKANA HAPO KWA UBORA WA HALI YA JUU SANA"

MASONGANGE ATINGISHA DODOMA, MAKALIO YAKE YAWATOA UPENDA WABUNGE WA KATIBA, WATAHADHARISHWA KWANI POSHO ZAO NI KIDOGO SANA WANAWEZA KUKOSA NAULI YA KUREJEA MAKWAO. XDEEJAYZ INAKUPA YA MOTO



SHADADI KUTOKA VODACOM MAKAO MAKUU DODOMA AKIWA NA BOSS NGASA MUDA HUU KWENYE KIWANJA CHA KIJANJA MATEI LOUNGE & PUB

Saturday, February 22, 2014

MASTAA KIBAO BONGO MOVIE WAMZUNGUMZIA DOKTA KAMDEGE, WENGI WAKILI MAFANIKIO WALIYOKUWA NAYO KWA SABABU YAKE..!











Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mastaa mbalimbali nchini wa muziki na bongo flava wamevunja ukimya wao na kuweka wazi chanzo cha mafanikio yao yanatokana na Mganga maarufu nchini Dk Kamdege.

Wakiongea na Xdeejayz baadhi ya mastaa hao ambao waliomba hifadhi ya majina yao walikili kweli mganga huyo amekuwa msaada mkubwa sana kwao kwani uwezo wake kimitishamba unatisha.
Mastaa hao waliendelea kusema " Sio siri jamani yule mganga ndiye amewasaidia mastaa wengi kuwa na mafanikio pamoja kuwa maarufu" Alisema msanii huyo ambae ni mtu mzima.

Hata hivyo Xdeejayz ilifanyajitahada za kumtafuta mganga huyo ambae yuko Mkoani Tabora na kwa bahati nzuri alipatikana kupitia simu namba yake 0788-844490 na alikuwa na haya ya kusema" Unajua ndugu mwandishi hivi vitu sio siri kwani msanii anaekuja hapa haji kumloga mtu bali anakuja kutafuta mafanikio yake binafsi hivyo ni heri watu kuwa wawazi tu wanapofanikiwa kwangu ili watu wengine waje nao kufanikisha mambo yao" Alisema 

Dokta huyo ambae ni msukuma na mnyamwezi Mganga huyo ambae hivi karibuni raia wa kigeni wamekuwa wakimiminika nyumbani kwake kupata tiba.
Uwezo wa Dokta Kamdege kuwasaidia watu umekuwa ni wa kutisha kwani watanzania wengi wanaishi nje ya nchi wamekuwa wakifanyiwa mambo yao huko huko kwani kwa kalama aliyopewa hata kama mtu yuko mbali humfanyia mambo yake huko huko kwa njia ya kiganga na mafanikio huja mara moja. 
Aidha mganga huyo amekuwa msaada mkubwa sana wa watu wenye matatizo kama kuapata mafanikioa kwa njia halali, kupata mchumba, kudumisha ndoa, kuwapunguzia makali watu waathirika wa HIV, kumfungua mtu toka kwenye kifungo cha kukosa mafanikio licha ya kwamba anafanyakazi sana lakini haoni maendeleo yoyote hapo kwake ni kazi ndogo sana.
Wasanii wanaotaka kung'alisha nyota zao kuwa mastaa wenye mafanikio kifedha na kikazi hata maofisini kama mtu hapandi cheo licha ya kuwa elimu anayo, panoja na wale walifungwa
matumbo ya uzazi huyafungua mara moja na mtoto hupatikana mapema.

"USIKOSE KUKAMATA KOPI YAKO YA GAZETI PENDWA NAMBA MOJA TANZANIA MASKANI BONGO KILA JUMATANO"