TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, January 31, 2014

BABU WA KIZUNGU MKULIMA AZUSHA BALAA MTAANI, ATEMBEZA BATA WAKE ZAIDI YA ELFU HAMSINI BARABARANI AWAMBIA WAENDESHA MAGARI WASUBIRI HADI MIFUGO YAKE IMALIZE KUFANYA MAZOEZI..!!!

Mkulima mmoja wa nchini china akiwa na bata wake idadi ya 50000, akidai anawafanyisha mazoezi barabarani.
Asema kila siku wanataga mayabi zaidi ya laki moja na hawa wanonekana ni watoto wadogo mama zao walikuwa bandani wanakula pumba. mzee huyo alisema jumla ya bata wake laki mbili na sabini elfu na tisini"LEO NDIYO LEO CLUB MAISHA ZUNGU MNYAMA, HYPERMAN NA DVJ MAJEY WATAONESHANA UMWAMBA STEJINI USIKOSE SHOO HII YA KIHISTORIA HAIJAWAHI TOKEA NDANI YA CLUB MAISHA"

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA BAADA YA NGOMA YA MISS KOI KOI KUVUJA


 Siku moja baada ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz "Miss koi koi" kuvuja kwenye mtandao, Ommy Dimpoz amlalamikia producer "Manecke" kutoka AM Records na kudai yeye ndio atakuwa kaivujisha
"hiyo nyimbo wakati wa tuzo za kilimanjaro ambazo nilipata awards zangu za kwanza za song ya Nainai, ndio kipindi ambacho katika wiki hiyohiyo nilikutana na Manecke na tuka plan kufanya kitu, i think ilikuwa ni 2012, nikaenda nikarecord nyimbo... unajua kama msanii unakuwa kila siku una record unarecord lakini baadae unaangalia labda planning nyimbo gani intoke, kwahiyo ilikuwa ina muda kidogo, hebu fikiria mpaka nimekuja kutoa  baadae me and you, tupogo na nilikuwaga sijawahi hata kuzirecord hiyo nyimbo ilikuwa tayari nimeshairecord."

"Mimi sasa nikaaamua jana kuidownload ile nyimbo na nilivyoicha studio niliiacha kama demo, lakini nilivyoi download naona kabisa kama ni nyimbo imeshamaliziwa kwa kiasi flani kwa kule mwisho, kwahiyo nikama nyimbo imeshafanyiwa mixing halafu mtu akaitoa, sasa kama mimi nimeacha nyimbo studio unategemea kwamba anaeitoa ile nyimbo ni nani? ni producer, huwezi ukasema labda aaaaaaah wanatoa wenyewe, mimi sikuwepo sikuwa na ile nyimbo! nimeitoa vipi sasa?."

Je aliongea na Manecke baada ya kusikia wimbo huo?

"ki ukweli hii ni kazi yangu na mimi ndio ninaitegemea,  kwamba ninavyofanya kitu flani nakua na mipango nacho, kwahiyo hata kama ningekuwa nataka kufanya hata hiyo nyimbo ningetaka iwe kubwa, ina maana ningetengenezea mipango iwe kubwa, lakini nimesikitika kiasi kwamba nimeshindwa hata kumpigia Maneke, sababu kama kitu kimeenda kwenye mitandao nikaona nami ni bora niandike kwenye twitter yangu kuwa Sija-release nyimbo yoyote tangu nilipotoa tupogo, lakini kuna nyimbo nimefanya miaka miwili iliyopita katika studio za AM reacord chini Maneke, na kama inavyolalamikiwa na wasanii wengine kuwa nyimbo zinavuja kutoka kwenye studio hiyo na nyimbo yangu pia imevuja."
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA JUMATANO PATA KOPI YAKO" 

Thursday, January 30, 2014

UJIO WA RADIO MPYA JIJINI DAR WAANZA KUZUA HOFU, SIKU ZINAHESABIKA KABLA YA KUACHIWA HEWANI NI RADIO YA VIJANA WA KISASA ZAIDI BURUDANI ITAKUWA NDIYO NYUMBANI KWAKE, ENDELEA KUPITIA XDEEJAYZ NA KUSOMA GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUPA ISHU NZIMA ILIVYO..!



 
Moja ya sehemu za Studio ya kisasa ya Radio hiyo itakayokuwa maeneo ya Kawe Jijini Dar.

 Sehemu ya studio hiyo kama inavyoonekana kwa ndani.
  Mashine za studio hiyo kama zinavyoonekana.

HIKI NICHO KILICHOIPONZA YANGA KUTOKA SALE NA MKWAKWANI TANGA JANA..!

Du! Kweli ushabiki wa mpira ni kwere,.. Yani kijana huyu hakuamini kilichomtokea maana ghafya alijikuta mikononi mwa njemba hiyo iliomkamata hapo pichani nakuvuliwa T.sheti ikachanwa fasta hata mabaki hayakuonekana ilisikika kauli ya mashabiki wengine wa Yanga wakisema apigwe..! Apigweeeee...! Ikifuatiwa na kauli ya
njemba hiyo-> Puuumbavu..! poteaaaaaaaaaaa...! Dogo akatoka mwendo wa jeti.
Yuleeeeee...!!! Kijana baada ya kuchaniwa T.sheti yake iliokuwa na rangi nyekundu aamua kusepa kabla kichapo hakijajiri..

Mmh.. Isiwe tabu ngoja ninunue ya njano haraka kabla hayajanikuta maana vijana mmecharuka..!

Vinywaji viliuzwa kulingana na kipato chako ukiwa na buku utakunywa cha buku, Ukiwa na mia utakunywa kinywaji cha mia kama unavyoona hapo pichani.


Shabiki aliyechangamka kama ameogea ndimu huyuuuuuuuu...!!!

Dah! Hawa jamaa noma..! Kama meza ya kamari?..

Mwene No Disc' Mchekeshaji kutoka kundi la (VITUKO SHOW) nae alikwepo, Kumbe ni shabiki wa Yanga..

Masai Nyotambofu director wa masainyotambofu.com kama kawaida ndani ya nyumba.



JUKWAA la wana Yanga
JUKWAA la Coastal Union











Ha ha haaaa!!! tisha mbayaaaaaaa...!



Wakati wa kuingia ilikuwa mbinde kwelikweli utadhani unaingia bure...



Safari ya wana yanga ilianza namnahii baada ya mechi kuisha 0-0

Wednesday, January 29, 2014

HIVI NDIVYO MAJAMBAZI WALIVYOSAMBARATISHA KICHWA CHA MFANYABISHARA HUYU KWA RISASI..!

Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi
Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya."GAZETI LA MASKANI BONGO NI ZAIDI YA GAZETI HAKIKISHA UNAPATA KOPI YAKO MAPEMA KILA JUMATANO
 

SNURA AMVUA NGUO SHILOLE NA KUBAKI MTUPU, MASHABIKI WACHUKIZWA NA UCHEZAJI WA NUSU UCHI WA SHILOLE WAMSHUSHUA ILE MBAYA ANGALIA HAPA WEMBAMBA WA MIGUU YAKE WAMUHARIBIA..!




KATIKA WIMBO WAKE MPYA WATAARABU KUNA BAADHI YA MASHAIRI ALIYOYAIMBA YALIKUWA YANAMGUSA KABISA SHILOLE MOJA KWA MOJA BILA
HATA KUPINDISHA, ''SURA MPYA MIGUU YA ZAMANI'' AMA KWELI MKOROGO UMEMKAA KUSHOTO :



ENDELEA KUTIRIRIKA NA COMMENT ZA MASHABIKI HAPO CHINI YANI MPAKA RAHA,













"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KILA JUMATANO USIKOSE KOPI YAKO"