TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, November 30, 2013

BLOG YA XDEEJAYZ KUFUNGIWA MAISHA, YAKABIRIWA NA KESI MBAYA SANA, BONGO MOVIE WAFURAHIA KWA ADHABU HIYO!




Suzi na Fathiya wakipena maravidavi

   Suzi  Magoti na Fathiya Alfan kwenye DVD ya kusagana ambayo imepelekea kuzusha balaa hili.




Suzi akijidhalilisha  mwenyewe kwa kujipima OIL sehemu nyeti kwa kujipandisha mzuka kabla ya kusagana!!!

   Msanii wa bongo Movie Suzi Magoti


   Mwanasheri wa familia ya Fathiya na Suzi aliyejitambulisha kwa jina la  Advocate Alphonse Kishato
  Mwanasheri wa Blog hii Hawamu Juma


  Mwanasheri wa Alphonse Kishato wa pili kulia akiwa na wanasheria wenzake.


Na Sakina Sahabani

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua blog hii pendwa nchini Tanzania Afrika na Duniani imetishiwa kufungiwa kwa kutofanya shughuri zake za uandikaji habari endapo itaendelea kuripoti taarifa za usagaji zinazo wakabiri  mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani pamoja na msanii chipikizi kwenye Bongo Movie Suzi Magoti.

Habari zilizopatikana jana Ijumaa mapema toka mtu aliyejitambulisha kuwa ni mwanasheria wa familia ya Suzi Magoti pamoja na Fathiya Alfani aliyeitwa  Advocate Alphonse Kishato.

Akiongea na mwandishi wetu mwanasheria wa Blog hii aliyefahamika kwa jina la Mh Hawamu Juma alisema kuwa amepokea taarifa hizo toka kwa Advacate Alphonse ikiitaka blog hii ambayo kwa sasa ni blog inayoongoza kutembelewa na watu zaidi ya elfu tano kwa siku kuacha mara moja kuendelea kuandika taarifa za wasichana hao juu ya DVD yao ya usagaji na kuamuru kuipotezea kabisa ishu hiyo kwa madai kuwa inaweza kusababisha wasichana hao wakapoteza maisha kwa kutishia kunywa sumu.

Habari zaidi zilisema katika taarifa hiyo ya mwanasheria huyo aliiendelea kusema kuwa tangu taarifa za tukio la hilo la usagaji kuvuja masichana hao wamekuwa kwenye hali  mbaya kiasi cha kushindwa kutoka nje kwa aibu kubwa.

Hata hivyo taarifa hiyo ilipigwa vikali na mwanasheria wa blogi hii Hawamu Juma ambayo imesajiliwa na kupewa baraka zote toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania “TCRA” hivyo kwa vile blog hii ni chombo cha habari kama ilivyo tv, redio, gazeti na wala haihusiki na kupiga picha watu au mtu bali kazi kubwa ya blog hii ni kuripoti matukio ya kila aina kwa mujibu wa sheria ya vyombo vya habari ambayo ni kutaarifu, kufundisha, kuburudisha na kukosoa.
  Baada taarifa hiyo ambayo pia ilishasambaa kwenye mitandao mingi ya kijamii wasanii wengi ambao habari zao zilisharipotiwa kwenye mtandao huu wameonesha kufurahishwa sana huku wakitamani XDEEJAYZ isipatikane tena ili waendelee kuwa huru.
"GAZETI LA MASKANI BONGO SASA MTAANI DESEMBA 11 LIKIWA LIMESHENI KILA AINA YA HABARI, BURUDANI NK"

MISUKULE YA MCHUNGAJI GWAJIMA YAZUSHA BALAA MKOANI TANGA WANANCHI WAKIMBIA OVYO MJI MZIMA, SASA HIVI TANGA HAKUKALIKI, XDEEJAYZ INAKUPA LIVE TUKIO HILO!!!



 Huu ni uwanja ambao upo katika ya mji wa Tanga ambao Mchungaji Gwajima akifanyia mikutano yake, huku watu zaidi ya elfu arobani wakihudhuria...!!!!
 Hawa ni Misikule ambao mchungaji huyo aliwakomboa toka mikononi mwa wachawi!
Na Mwandishi wa Xdeejayz Tanga
Mchungaji maarufu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ( Mzee wa Misukule) wiki hii ameufanya Mkoa wa Tanga mjini kuwa mchungu kufuatia mkutano wake kukumbwa na mauza uza huku misukule ikiwa ndo stori kubwa.
Mwandishi wa XDEEJAYZ yuko Mkoani humo kikazi ameshuhudia maelefu ya watu wakiokoka na kutokwa na majini huku wachawi wakijisalimisha kwa mchungaji  huyo ambae anamkutano wa siku saba na watu kukimbia ovyo kwa hofu ya Mungu.
Habari zaidi zilieleza kuwa Gwajima na timu yake wamekuwa gumnzo mkoani huku ikielezwa ku haijawahi toke mkutano mkubwa kufanyika na kujaza maelfu ya watu kama

Hata hivyo kasoro kubwa imekuja na kuzusha maswali mengi kwa wakazi hao kuhusu ishu ya misukule ambapo mchungaji huyo ametoa misukule kibao lakini cha kushangaza hakuna hata msukule mmoja mkazi wa eneo hilo wasukule wote hawajulikani jambo ambalo watu wanahisi ni mchongo tu. 
" GAZETI LA MASKANI BONGO SASA LITAKUWA MTAANI KUANZIA DESEMBA 11 2013, NA LITATOKA KILA SIKU YA JUMATANO KARIBUNI"

Friday, November 29, 2013

BIBI WA MIAKA 85 AIYENASWA AKILIWA URODA NA KIJANA MDOGO AJITOKEZA NA KUSEMA ANAFURAHIA PENZI LA KIJANA HUYO HIVYO NDUGU WAMUACHE ALE RAHA KWANI SIKU ZAKE ZA KUFA ZINAKARIBIA!

KUNA mengi ya kushangaza duniani lakini hili la kijana Hamad Issa (32) kunaswa faragha na bibi kizee Adela Mkalau (80) linaongeza rekodi ya mambo yanayoshangaza, Risasi Mchanganyiko lina kila kitu.  XDEEJAYZ.BLOGSPOT.COM

Hamad Issa (32) akiwa amejilaza kitandani kwa bibi Adela Mkalau (80).

XDEEJAYZ.BLOGSPOT.COM

 
Bibi Adela Mkalau (80) akiwa katika pozi.

XDEEJAYZ.BLOGSPOT.COM

Hamad Issa akiwa kitandani, pembeni kulia ni bibi Adela Mkalau.

 

 


 
Adela Mkalau akiwa kwa bibi.
 

XDEEJAYZ.BLOGSPOT.COM



Thursday, November 28, 2013

JAMANI UFIRAUNI HUU HADI LINI? BEIBY MADAHA AMLA DENDA MKE WA MTU MBELE YA MUMEWE!

Maskini Mke wa mtu alilazimishwa kuliwa mate mbele ya mumewe!
Mariam Mndeme na Beiby Mdaha

Na Sakina Shabani
Mwanamuziki na msanii wa bongo movie Beiby Madaha hivi karibuni alinaswa na XDEEJAYZ  akilazimisha kumla denda mke wa mtu huku mumewe aishuhudia.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kwenye Bar ya Uhuru Peack iliyopo maeneo ya Vijana ambapo Beiby Mada ambae alikuwa tungi kipita kiasi alianza kumlazimisha dada huyo kumla mate baada ya kumsifia kwa kazi nzuri anazozifanya msanii huyo.
Hata kuna taarifa ambazo XDEEJAYZ bado inachokonoa ili ipate ukweli halisi kisha kama desturi itaanika uchafu huo ili watu waone ufirauni unaofanywa na wasanii wetu ambao sasa hivi wametoa kabisa msemo wa kuwa kioo cha jamii ambayo inasema kuwa msanii na mtunzi wa filamu ya TATAKOA Mariam Mndeme hivi karibuni alipigwa picha akisagana na mke wa mtu ambae ni bosi wa bank moja maarufu Jijini.
Aidha Mariamu Mndeme ambe pia alikuwa mwandishi wa habari wa magazeti pendwa kabla ya kuachana na mambo ya habari na kuingia kwenye filamu.
"GAZETI LA MASIKANI BONGO NI DESEMBA HII KAA MKAO WA KULA"

Wednesday, November 27, 2013

WAKATI SERIKALI IKITANGAZA... MTOTO WA KING KIKI AENDELEA KUACHIA PICHA ZAKE ZA UTUPU MITANDAONI, RAIS MISS UTALII AMWAGA CHOZI!

 Prodyza Man Walter akikabidhiwa tuzo na Mwanamuziki mkongwe nchini King Kiki Kikumbi ambae ni baba mzazi na Jeska Kikumbi ambae amepiga picha utupu na kuzimwaga mitandao kwa hiali yake mwenyewe.
  Jeska Kikumbi akiwa kwenye pozi



 Rais wa Miss Utalii nchini Mh Gidion Chipungahelo
 Hapa Jeska akiwa kwenye moja ya kumbi za burudani usiku kama anvyoonekana.
 Na Mwandishi Wetu
Wakati Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Ulinzi Emmanuel Nchimbi ikitangaza kuwachukulia hatua wale wote watakao wapiga picha wapenzi wao na kuzisambaza mitandaoni, hali imeendelea kuwa mbaya kwa wsasichana wengi kujipiga wenyewe kisha kuzisambaza mitandaoni kwa lengo la kujiuza.
Moja ya ya tukio la kusikitisha na bint wa mwanamuziki nyota nchini King Kiki aliyefahamika kwa jina la Jeska Kikumbi ambae amejipiga picha za aibu mwenyewe na kuzisambaza kwenye mitandao yote huku tukio hilo likiipotiwa hata kwenye magazeti pendwa.
Habari zaidi zaidi zilisema kuwa Jeska ambae ni mke wa mtu kabisa lakini aliamua kuchukua hatua hizo za kujipiga picha hizo chafu ili kumkomoa mmewe ambae inadaiwa ni mtu mzima kidogo.
Aidha katika hatua Rais wa Miss Utalii Tanzania Gedion Chipungahelo ameoneshwa kusikitishwa na tabia za washiriki wake hao wa Miss Utalii ya kupiga picha utupu huku wakiitia najisi fisa ya Miss Utalii.
"GAZETI LA MASKANI BONGO SASA KUWA MTAANI DESEMBA HII"


Tuesday, November 26, 2013

TIGO YAMPONZA KIGOGO HADI KUFUMANIWA ALIA NA KUSEMA WANAE WAMSAMEHE KWA AIBU ALIYOWAPATIA AMSHUTUMU MKEWE KUMNYIMA "SAUNA" NDIO MAANA AMEKUWA AKIHANGAIKA!!!


WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.


 

 
 
...akizidi kutembezwa mtaani.



Hussein akiwa ndani ya gari la polisi waliofika kumnusuru.

TAMASHA KUBWA LA INJILI LA DTV SASA NI DESEMBA 8, WAIMBAJI ZAIDI YA 70 KUUMANA KWENYE JUKWAA MOJA ITAKUWA BALAA!






Na Sakina Shabani
Kituo cha runinga cha Dar es salaam Televisheni DTV kimevunja rekodi kwa kuandaa tamasha kubwa la waimbaji wa nyimbo za Injili linalotarajia kuifanyika mapema mwezi desemba mwaka huu.
Akiongea na gazeti hili mratibu wa tamasha hilo Mathew Philip ambae pia ndiye meneja wa kituo hicho cha maarufu cha runinga alisema “ Ni hivyo tumejipanga kufanya uzinduzi wa kipindi chetu kipya cha SIFA ZA USHINDI kinachorushwa kila siku za Jumapili ndani ya DTV” Alisema meneja huyo
Aidha Meneja huyo aliendelea kueleza kuwa  katika uzinduzi huo wamealikwa wanamuziki zaidi ya sabini toka ndani na nje ya nchi kuja kuhudhuria kwenye uzinduzi huo pamoja na kutoa burudani kwa mashabiki.
Mathew Philip aliongeza kusema kuwa licha ya kwamba tamasha hilo ni la uzinduzi wa kipindi hicho pamoja na uimbaji pia watakuwa na maombo maalum ya kuimbea amani nchi yetu bila kujali itikadi za watu wote. Na wapenzi wa nyimbo za injili wakae mkao wa kula kwani tamasha hilo litakuwa ni la kipekee huenda likawa moja ya matamsha makubwa na yatakayofanya viuzri nchini.
Meneja huyo aliwataja waimbaji hao ambao ni baadhi tu kuwa ni Bahati Bukuk ,Boni Mwaitege, Edson Mwasabwita, Happy kamili, Flora mbasha, Madam Ruti, Neema gasper, Matha Baraka, Siza mwampamba, Prisca Mwalugaja, Elizabeth Nzunda, Davdi Robert, Adelina Swai, Jackline Falles, Sara Mvungi, Victor Aron, Danny Bandezu, Dar gospel, Kwaya ya cvc chang’ombe na wengineo wetu.
Mratibu huyo aliongeza kusema tamasha hilo litafanyika Desemba 8 kwenye viwanja vya Ustawi wa Jamii huku kiingilio kikiwa elfu tano kwa wakubwa na elfu mbili kwa watoto!
"GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUWA MTAANI KUANZIA DESEMBA KAA MKAO WA KULA!!!"

BONGO MOVIE WASUSIA TENA KISOMO CHA MAREHEMU SHARO MILIONE, WASANII WA KOMEDI WAPONGEZWA KUONGOZA KWA KUSHIRIKIANA, LEOA MAREHEMU KATIMIZA MWAKA MMOJ!


 
 
JB kiongozi wa kundi la Bongo Movie.
SHARO MILIONEA
Na Sakina Shabani aliyepo Tanga
Tarehe ya leo familia ya marehemu Sharo milione na watanzania wanamumbuka mwanamuziki huyo tangu alipotutoa mwaka jana tarehe kama hii.
 
Habari toka Mkoani Tanga zinasema kuwa wasanii mbalimbali wa kundi la Komedi wako mkoani humo kwa ajili kushiriki kisomo huku kukiwa na dosari kwa wasanii wa bondo movie ambao hakuna hata mmoja aliyetia maguu yake huko.
Mwandishi ambae yuko Mkoani humo kushiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu hiyo alisema kuwa shughuri hiyo inaendelea vyema huku Kitale ndiye anaeongoza kisomo hiyo pamoja kusimamia shughuri nzima.
Hata hivyo mashabiki wengi wa filamu wamesikitishwa kwa ubaguzi unaoendelea kwa wasanii wa Bongo Muvi ambao hawataki kushirikiana na wenzao kwa madai kuwa wao ni bora kuliko wenzao.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUWA MTAANI MAPEMA MWEZI UJAO USIKOSE KUKAMTA KOP YAKO 500/= TU!"
 
 
 

WASTARA WA SAJUKI ATAHADHARISHWA KUHUSU MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE , YADAIWA MPENZI WAKE MPYA AMEKUBUHU KWA TABIA HIYO HADI WANAWAKE WANAMKIMBIA, YASEMEKANA ALIFUNDISHWA NA ANT LULU WALIPOKUWA WAPENZI, XDEEJAYZ INAKUPA HIYO YA MOTO..!!!

 Prodyuza Bond Bin Sinnian akiwa na aliyekuwa mpenzi wake wa siku nyingi Ant Lulu ambae kwa kiasi kikubwa ndiye aliyempa jina hapa mjini kijana huyo hadi kuonekana mtu.

Prodyuza Bond Bin Sinnian akiwa na Wastara ambapo imedaiwa wawili hao wako kwenye mahusiano mazito ya kimapenzi licha ya kuzuga kuwa wanaigiza.Xdeejayz imetonywa.


Wastara na Bond walianza kwa kufanyiana Interview ambapo Bond pia ndiye muongozajii wa kipindi cha Action n Cut kinachorushwa hewani kupitia Channel Ten, lakini baadae waliamua kufanyiana interview kubwa ili maandiko yatime.


Wastara na Marehemu Juma Kilowoko.

Na Sakina Shabani
Msanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mshabiki wake kuhusu mpenzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile hakuna mfano.
 Habari za uhakika zilitua ndani ya ofisi XDEEJAYZ zilizopo Mwananyamala Komakoma zilisema Bond ambae aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambae kipindi flani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi na maumbile tangu akiwa mdogo.
Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara wame makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu.
Chanzo chetu kiliendelea kuilza Xdeejayz kuwa Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja" Huyo Bond anaogopwa sana na mabint kwa sababu ya kauri ya Ant Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni  kifanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anaemkubari kwa hofi hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho" Kilisema chanzo hicho.
Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua bond kama shemeji yao, Mapaparazi wa Xdeejayz walifunga safari hadi Tabata jirani kabisa na anapoishia Wastara ili kupata umbea ambapo majirani hao walifunguka" Aaah na nyie waandishi mko wapi siku zote bwana? Wastara na Bond ni mke na mume mbona wala hakuna kificho tena Wastara sasa amerejesha furaha ya maisha kwa malavidavi ya Bond ambapo wanaishi pamoja kupika na kupakua" Alisema jirani huyo aliyejitambulisha kwa jina la Amina
 Aidha mwanzo wa mahusiano ya wawili hayo hayana tofauti na yale ya Pennie na Diamond ambao walianza kufanyia interview kwenye kipindi na baadae wakageuza na kuwa wapenzi kabisa hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Wastara na 
Bond.
Hata hivyo Xdeejayz iliwavutia waya wawili hao kuzungumzia ishu hiyo lakini simu zao ziliita tu bila majibu hadi habari hii inaruka hewani!
"GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUWA MTAANI DESEMBA HII TAREHE ZA MWANZO KABISA USIKUBARI KUPITWA NA TUKIO HILI LA MAPINDUZI YA HABARI TANZANIA!!!"