TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, August 31, 2013

HAKI YA NANI LAZIMA KUNA JAMBO HAPO. DIAMOND AKESHA USIKU KUCHA AKIMPAPASA MAPAJA LINAH MAPAJANI, WATU WAPIGWA BUTWAA WAMTAHADHARISHA DVJ PENNY!



Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa na msanii mwenzake, Esterlina Sanga ‘Linah’ wakiwa kwenye mapozi ya kimahaba ambayo yametafsiriwa vibaya.

 

Katika tukio hilo lililojiri juzikati kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ndani ya Tamasha la Serengeti Fiesta, Diamond alishuhudiwa akiwa amempakata Linah ndani ya basi huku mikono ya jamaa huyo ikishika maeneo nyeti.
 

Mara baada ya kutimba uwanjani hapo wakitokea hotelini tayari kwa kufanya shoo, Diamond na Linah walibaki kwenye basi wakiwa wamepakatana na hata msichana huyo alipomaliza shoo yake kali mishale ya saa 3: 00 usiku, alirejea mikononi mwa Diamond ambaye alimpachika mapajani.



Kwa mujibu wa mashuhuda, kama kweli mchumba wa Diamond, Penniel Mungwilwa ‘Penny’ anakubali mambo kama hayo, basi atakuwa na roho ngumu au moyo wa chuma.  
Siyo mara ya kwanza Diamond na Linah kuripotiwa wakiwa wamepozi kimahaba kwani mwaka jana walifanya hivyo wakiwa jijini Mbeya hivyo kutafsiriwa kuwa inaonekana ni katabia kao kabaya wanakaendekeza.

MAPENZI YAUA. MSICHANA AJINYONGA KWENYE UKUMBI MAARUFU WA DISKO JIJINI DAR!


KULWA Shaban (18) mkazi wa Gongo la Mboto, jijini Dar amedaiwa kujinyonga na mwili wake kukutwa  ukinin’ginia kwenye mti pembezoni mwa ukumbi wa disko maarufu kwa jina la Majita.

Akizungumza kwa machungu, mama wa kijana huyo, Rehema Omar alisema tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo siku nne kabla ya kukutwa akiwa amejinyonga, Kulwa aligombana na baadhi ya marafiki zake ambao walichukua tofali na kumpiga nalo mdomoni na kusababisha meno mawili  kung’oka.
Tulimpa fedha kwa ajili ya kwenda kujitibia kisha alirejea nyumbani na kuendelea kujiuguza majeraha kwani yalikuwa ni makubwa,” alisema Rehema.
Mama huyo aliendelea kusema wakati mwanaye akiendelea kuuguza kidonda ndipo alipopatwa na maswahibu hayo baada ya kwenda disko na wenzake.
Siku hiyo niliingia kulala na ilipofika saa tisa usiku niligongewa mlango na watu wawili na kuambiwa hali ya mtoto wangu ni mbaya  pasipo kubainisha amefanya nini,” alisema mama huyo.
Chanzo kingine kilipenyeza madai kuwa, siku ya tukio Kulwa alikutwa amejinyonga mwenyewe baada ya kutoka disko lakini mama yake mzazi hakukubaliana na madai hayo.
Nimeumia sana kwani mwanangu hawezi kujinyonga kwa sababu hakuwa na tatizo lolote ukizingatia nguo aliyokuwa ameivaa tuliikuta imechanwachanwa, mwanangu amekufa kifo kibaya sana,” alisema mama huyo huku akidondosha machozi.
Marehemu Kulwa alizaliwa na pacha wake, Doto ambaye walikuwa wakitembea naye mara kwa mara isipokuwa siku hiyo ambayo mwenzake alikutwa na umauti.

Friday, August 30, 2013

TOZ BITONGA KATIKA POZI LA KUFA MTU!


MARAFIKI WA KWELI!! NAY & MADAM RITHA


SAIDI MWEMA NAE AANZA KUONESHA KUCHA ZAKE. WANANCHI WAMPA 5 !


BAADA ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kuwa njia kuu ya kusafirishia dawa za kulevya, hatimaye Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema amemuondoa Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege Tanzania, Deusdedit Kato. http://www.mtanzania.co.tz/images/stories/kitaifa/mwema.jpg  Katika mabadiliko hayo, IGP Mwema amemhamishia Kato makao makuu ya Polisi na nafasi hiyo inachukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Selemani Hamisi kutoka makao makuu Idara ya Upelelezi.

Kuondolewa kwa Kato, kunaelezwa na wachunguzi wa mambo kuwa kumetokana na kushindwa kudhibiti wimbi za mtandao wa usafirishaji wa dawa za kulevya kwenye uwanja huo, huku askari polisi kadhaa wakishiriki kupitisha dawa za kulevya.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na jeshi hilo mjini Dar es Salaam jana, ilisema Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP), Hamad Hamad ameteuliwa Mkuu wa Upelelezi Viwanja vya ndege, akichukua nafasi ya David Mwafwimbo aliyehamishiwa mkoani Lindi kuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Lindi (OCD).


Katika mabadiliko hayo, IGP Mwema pia amemuondoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Linus Sinzumwa ambaye amehamishiwa makao makuu ya Polisi Idara ya Upelelezi.

Katika mabadiliko hayo, nafasi ya Kamanda Sunzumwa inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Zelothe Stephen kutoka Makao Makuu ya Polisi.

Hatua ya IGP Mwema kumuondoa Kato, kumetokana na juhudi kubwa zinazofanywa na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kuwataja hadharani wafanyakazi wa uwanja wa ndege ambao wanadaiwa kujihusisha na mtandao wa kupitisha dawa za kulevya.

Waziri Mwakyembe, bila kuficha alisema mtandao wa wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya unazidi kuteketea, baada ya kuwafukuza kazi maofisa wanne ambao walikuwa zamu Julai 5, mwaka huu siku ambayo dawa za kulevya zilipitishwa kwenda Afrika Kusini.

Alisema kwa mujibu wa ushahidi wa picha za kamera za uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere, zimeonyesha wazi baadhi wa maofisa walivyoshiriki katika zoezi hilo. “Picha za kamera zinaonyesha mfanyakazi mmoja, Yusuph Daniel Issa akitoka nje ya jengo la abiria, akiingia ndani mara kadhaa huku akiongea na simu kitendo ambacho huwa hakiruhusiwi kabisa kwa wafanyakazi wa ukaguzi.”

Alisema wakati tukio hilo likiendelea, picha za kamera zimemuonyesha pia mfanyakazi mwingine Koplo Ernest akiwa anarandaranda eneo hilo hilo la ukaguzi wa pasipoti za abiria.

“Wizara inauagiza uongozi wa mamlaka za viwanja vya ndege kuwafukuza kazi mara moja wafanyakazi wake wafuatao ambao walihusika kwa njia moja ama nyingine kupitisha mabegi tisa ya dawa za kulevya…Yusuph Daniel Issa, Chief Security Office, Jackson Manyoni, Chief security officer,”
alisema Mwakyembe na kuagiza wafanyakazi hao kukamatwa mara moja.

RPC MTWARA

Uamuzi wa kuondolewa kwa Sunzumwa mkoani Mtwara, ni wazi kumechangiwa na wimbi la ghasia kubwa zilizotokea mapema mwaka huu.

Katika vurugu hizo, watu kadhaa na mali vilichomwa moto huku mamia ya wananchi wakikimbia makazi yao kuhofia kukamatwa

DADA ALIYEMPIGA CHUPA ANT EZEKIEL ATAMBA NA KUSEMA HATAKI MASTAA WAMZOEE ATAKAEZINGUA KAMA KAWA NYEMBE ZA USO TU!



Mtuhumiwa aliyempiga chupa mwigizaji Aunt Ezekiel Jumapili iliyopita nje ya Ukumbi wa Bilicanas ndiye aliyewahi kumchana viwembe mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwaka 2011.

Kumbukumbu  zinaonesha kuwa, mwaka 2011 Lulu alivamiwa na wadada wa mjini baada ya kunaswa katika pozi tata na mwanaume wa watu maeneo ya Kariakoo, jijini Dar. Alipoulizwa juu ya sakata hilo, Lulu alitiririka hivi:

“Naweza kumkumbuka mwanamke mmoja, namfahamu kwa jina la Yvonne, alinivamia na kuanza kunishambulia huku mkononi akiwa ameshika wembe...”

 Mwishoni mwa wiki iliyopita, Yvonne huyohuyo ndiye aliyedaiwa kumpiga chupa mkononi Aunt ambapo haikubainika mara moja sababu za kufanya tukio hilo.

Aunt alipelekwa katika Hospitali ya Dokta Mvungi, Kinondoni na kushonwa nyuzi sita huku mtuhumiwa akishikiliwa na polisi.

BAADA YA KIMYA KIREFU DVJ PENNY AFUNGUKO ASEMA WANAODHANI YEYE NA DIAMOND WATAACHANA WALIE TU!



Baada ya hivi karibuni kuandikwa habari iliyoeleza kwamba nchini Kenya kuna demu aliyemzimikia ile mbaya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akiahidi kumpa penzi zito, mpenzi wa msanii huyo Peniel Mwingilwa ‘Penny’ ameibuka na kudai hatishwi na maneno hayo.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Penny ambaye sasa anapika na kupakuwa kwa Diamond alisema anamuamini sana mpenzi wake huyo na kwamba kuhusishwa kwake na mambo ya mademu kila kukicha kunatokana na kazi yake.

“Yatasemwa mengi lakini siwezi kumuacha Diamond, namuamini na najua haya yote yanayotokea ni kwa sababu ya kazi yake kwa hiyo wanaodhani mimi nitayachukua na kuamua kumuacha watasubiri sana, ndiyo kwanza penzi letu linazidi kushamiri,” alisema Penny.

HIVI NDIVYO MWANAMUZIKI DIAMONDO ALIVYOFUNIKA KWENYE UZINDUZI WA VIEO YA WIMBO WAKE MPYA,AMPA GARI NGURUMO!!



Chege Chigunda akifuatilia kwa makini
Chege Chigunda akifuatilia kwa makini
Kwenye uzinduzi huo pia, Diamond alimpa zawadi ya gari msanii mkongwe aliyetangaza kustaafu muziki, Muhidin Gurumo kama heshima kwake.

Diamond akienda kumkabidhi Mzee Muhidin Gurumo gari
Diamond akimuonyesha Mzee Ngurumo Gari ambayo amemzawadia
Diamond akimuonyesha Mzee Gurumo gari aliyomzawadia
Diamond akiongea na wadau walio fika
Diamond akiongea na wadau waliofika
Dully Sykes akiwa na Diamond wakiongea machache
Dully Sykes akiwa na Diamond wakiongea machache
Hao ndugu na Marafiki katika picha ya Pamoja
Ndugu na Marafiki katika picha ya pamoja
Hapa Diamond akimkabidhi Mzee Ngurumo Funguo ya Gari
Hapa Diamond akimkabidhi Mzee Gurumo funguo ya gari
Hapa Diamond akiongea machache na wasanii wenzake waliyo fika kumpa sapoti
Diamond akiongea machache na wasanii wenzake waliofika kumpa sapoti
Hili ndo Gari alilo pewa zawadi Mzee Ngurumo na Diamond
Hili ndo gari alilopewa Mzee Gurumo na Diamond
Hivyo ndivyo watu walivyo jitokeza kuja kuona New Video ya My No 1
Hivyo ndivyo watu walivyojitokeza kuja kuona video ya Number 1
Kama kawa burudani ilikuwepo kidigo
Kama kawa burudani ilikuwepo kidogo
Mzee Ngurumo akijaribu kidogo kupiga lesi baada ya kukabidhiwa Gari
Mzee Gurumo akijaribu kidogo kupiga lesi baada ya kukabidhiwa gari
Mzee Ngurumo akiongea machache na kumshukuru Diamond kwa kumpatia hiyo zawadi ya gari
Mzee Gurumo akiongea machache na kumshukuru Diamond kwa kumpatia zawadi ya gari
Nay wa Mitego akiwa pamoja na Madam Ritta
Nay wa Mitego akiwa pamoja na Madam Rita
Qeen Darleen na Bi Sandra
Queen Darleen na Bi Sandra
Rey Kigosi akifuatilia kwa makini sana
Ray Kigosi akifuatilia kwa makini sana
Wadau mbali mbali walio pata mualiko wakifuatilia
Wadau mbalimbali waliopata mualiko wakifuatilia
Wadau wa burudani wakifuatilia
Wadau wa burudani wakifuatilia
Wadau wakisubiri kwa hamu kuona kuona Video ya My no 1
Wadau wakisubiri kwa hamu kuona kuona video ya Number 1
watu wakifuatilia
Watu wakifuatilia
Asha Baraka,Qeen Darleen pamoja na Mama Diamond Bi Sandra
Asha Baraka,Queen Darleen pamoja na Mama Diamond
IMG_5498
IMG_5500



IMG_5520
IMG_5522
IMG_5524
IMG_5525
IMG_5526
IMG_5527
IMG_5533
IMG_5534








IMG_5561

IMG_5575
IMG_5579

IMG_5586


Thursday, August 29, 2013

BIBI BOMBA WAVURUGWA NA MAJANGA YA SNURA FULL KUIMBA NA KUCHEZA NAE

 

 Msanii mkali wa kike tanzania anaetamba na wimbo wake wa NIMEVURUGWA Pia ni hil maker wa MAJANGA usiku wa jana alijikuta akitembelea maeneo ya excape 1 mikocheni kuonana na mabibi bomba baada ya kuomba kwa mda mrefu kukutana na mkali huyo alieimba wimbo wa majanga.,
 mabibi bomba wakiimba majanga na snura





 safffffi
 pozi kidogo lakuwavuruga wale wanaopenda swaga zako
 SNURA akipata msosi kabla yakuingia kwa bibi bombaz
 Babuu wa kitaa na SNURA
 SNURA na ISHA MASHAUZI
 T.i.D MZEE mnyama na snura
 Chidy beeenz na mamaa majanga



Mr manager hyperman hk akiingia na snura kwenye jumba la bata ndefu na bibi bomba