TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, May 31, 2013

BAADA YA FUKUFUKU LA GESI BURUDANI ZAREJEA MTWARA, WATU WANA BATA MWANZO MWISHO!

 Kudadeki hizi bia nimezinywa lakini haitoshi bora nioge kabisaaa!

Aa acha tule raha sisi, Hayo mambo ya Gesi haya tuhusu bana sisi watoto wa kike.


Ngoma za DJ Bwege wa Maisha Club jinsi alivyowapagawisha mashabiki wa Mtwara.



 Kudadeki nani amekwambia kuwa Ntwara hakuna watoto wakali ebu cheki totozi za kimakonde hizo.


Nani kakwambia kuwa wanafunzi haturuhusiwa kula bata? Burudani zinanafasi yake bwana asikwambie mtu hapa ni kuponda raha tu hadi asubuhi.......



PICTURE OF THE DAY


HII HAPA PICHA KALI YA HARUSI DUNIANI KULIKO ZOTE


Thursday, May 30, 2013

MITINDO:FLAVIANA MATATA ALAMBA DILI NONO TRUWORTHS


Miss Universe 2007,Flaviana Matata week moja imepita tangu alambe donge nono
la kuwa Model ndani ya Kampuni ya kutengeneza mavazi ya aina mbalimbali
TRUWORTHS na Juzi kati aliweza kupiga picha za kwanza kama model wa
TRUWORTHS baada ya kusaini mkataba huo Nchini South Africa...
Flaviana aliezaliwa Mwaka 1988,June 9 shinyanga nchini Tanzania...
Alishinda Miss Universe Tanzania na alienda kukupeperusha bendera
ya Tanzania na kuwa Mshindi wa 6......Flaviana matata ameshiriki mashindano
mengi ya urembo ikiweno Runway ya kwanza chini ya Mwanamitindo
Mustapha Hassanali,Vivienne Eastwood,Tory Burch,Suno & Louise Gray na
Mshirika wake wa Nguvu Alexander McQueen......

This Is Diamond inamtakia Mafanikio na Baraka tele kwenye
kazi yake ya Unamitindo
afike mbali kuipeperusha Bendera ya Taifa Letu Tanzania....


SHOO YA 100.5 TIMES RADIO YAFUNIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA!

 Umati mkubwa wa mashabiki ulihudhuriwa na maelfu ya watu kwenye viwanja vya Mwembe Yanga Jumapili iliyopita.



 Mwanamuziki Madee akifurahia shoo hiyo muda mfupi kabla ya kwenda kuwarusha mashabiki wake waliokuwa wamemwagia pombe yake.




Mtangazaji wa Redio Times Edson Mkisi akimuhoji mmoja wa wanamuziki uwanjani hapo.

Natasha & Monalisa wakiingia kwenye viwanja hivyo kwa ajili ya kushuhudia tukio la kihistoria la moja ya shoo zilizoandaliwa na kituo hicho namba moja.

Mwanamuziki Juta B anaetamba na wimbo wa "Bint Mtwara" ambae pia ni mfanyabishara wa matunda kwenye soko la Tandika akiwa ndani ya viwanja hivyo kushuhudia shoo hiyo iliyofana.

Juta akiwa na shabiki wake kwenye viwanja hivyo.
Na Livingstone Mkoi
Kituo namba moja kwa sasa cha burudani na habari Radio Times mwishoni mwa wiki iliyopita ilifanya tukio la kihistoria ambalo ni dhahili kuwa sasa kituo hicho kitafuka kila idara siku za usoni kwa kufanikisha kuandaa tamasha kubwa la wazi huku watu zaidi ya elfu therathini wakihudhuria.
Mapapalazi wa Xdeejayz waliokuwepo uwanjani humo walishuhuduia msitu wa watu waliokuwa wamefurika uwanjani humo huku idara ya usalama na ikiimarishwa kila kona kuhakikisha hakuna mwananchi anaeporwa na hakika waliweza kuthibiti hilo.
Shoo hiyo iliyokuwa na wasanii kibao wakiwemo Ney wa Mitego,Diamond, Mad na wengineo na wasanii wote hao walitoa burudani ya aina yake ambayo ilikidhi haja ya mashabiki.

KIKAO CHA WASANII KUHUSU KUCHAGUA WASIMAMIZI WA MSIBA

 
 Mwenyekitu wa msiba wa marehemu albert magwea ADAM jJUMA akiongea na wasanii kuelekeza juu ya msiba ulipo pamoja na sehemu yakwenda kumzika marehemu albert magwea alisema " msiba utafanyika mbezi beach kwa kaka yake na marehemu na kuzika atazikwa kihonda morogoro baada ya mwili wa marehemu kuingiua nchini ratiba zingine zitafatwa.
 prof j akiongea na waandishi wa habari
 
 
 Flaviana matata na barnabas walikuwepo
 wasanii walionekana kuwa na uzuni mkubwa
prof j

BONGO MOVES WAMFARIJI DUDE KATIKA MSIBA WA MAMA YAKE



 Rais wa taff mwakifamba akiongea na wabongo moviez waliofika katika  msiba huo jana,
 dude akitoa shukrani zake za dhati kwa wasanii wa bongo movies walioudhuria katika msiba wa mama yake mzazi.mungu alaze roho ya marehemu mama yake mzazi na dude.amin

 ruten kalama,director matola na baga

 Dude akiwa na snura
Dude akiwa na directo matola

KIBAKA ALIYEMCHANA WEMBE WA MGONGO ASKARI POLISI AKIONA CHA MOTO!

 Kijana ambae ni kibaka na ahakufahamika jina lake akisurubiwa na wana usalam baada ya kuchana na wembe Askari Polisi aliyekuwa uwanjani kwenye shoo ya Open Mic iliyofanyika kwenye viwanja vya Temeke Mwembe Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Kipigo kikali
 Kijana aliomba ardhi ipasuke kwa kipigo kikali ambacho hakika bila na nguvu za giza watu wangesimuliana

Na Livingstone Mkoi

Kijana asiyejulikana jina lake hivi karibuni alionja joto ya jiwe kwa baada ya kuchezea kipigo cha mbwa mwizi toka kwa wanausalama waliokuwa uwanjani kufuatia kumjeruhi Askari Polisi kwa kumchana na wembe mgongoni wakati askari huyo akimkamata mmoja wa vibaka hao.

Xdeejayz ambayo ilikuwepo uwanjani kukusanya matukio ya kila kinachoendelea ilishuhudia ulinzi wa nguvu uliokuwa umeimalika uwanjani hapo kuanzia mgambo, Polisi kadhu, na wa sale ambao wakiwa na defender zao pamoja na silaha.

Hata hivyo kutokana na wingi wa vibaka ambao ni wazoefu wa eneo hilo walipambana vya kutosha na wana usalama.Hata hivyo wakati wanausalama hao wakijaribu kumkamata mmoja wa vibaka waliokuwa wanapora wananchi ndipo kibaka mmoja anaeonekana pichani alipojitoa muhanga na kumchana kwa wembe Polisi.

Baada ya tukio hilo kijana huyo alikamatwa na kuanza kuchezea kichapo cha nguvu,huku polisi huyo akikimbizwa Hospitali kutibiwa.